mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 608
- 301
Once a man twice a Child.
Bob Marley
le mutuz sema hivi nimepata day waka ya kuwaendesha wazungu kwenda kutalii na sio ww kama umeenda kutalii bali upo kazini!
- Nipo mbugani Serengeti National Park kutalii naurudi mjini soon, so tutakuja kuongea ila kwa sasa nipe break wacha nimalize utalii kwanza unajua ni muhimu sana kutalii mbuga zetu wenyewe sio kuwaachia wageni tu, unakuja huku kuongeza na uchumi wa Taifa, so please niwacheni kwanza nimalize kuona wanyama nikirudi tutaongea kama kawa hahahaha!!
Le Mutuz

- Well, hahahahahahhaa nawahi kupanda ndege kurudi Arusha ninatakiwa kwenye special video shooting kwa sababu nina mualiko kule A town Tarehe 14 so wanahitaji my video kwa ajili ya matangazo and then nitaruka tena kurudi Dar, nawahi ok hahahahahaha

Mi nimefurahiajee brazil kupigwaaaa safii sanaaaaaaaa
Heee! lolowapi umepotelea wapi?
Mizunguko tu .
Vipi boss wako Wema hajambo?