William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Once a man twice a Child.

Bob Marley

- Nipo mbugani Serengeti National Park kutalii naurudi mjini soon, so tutakuja kuongea ila kwa sasa nipe break wacha nimalize utalii kwanza unajua ni muhimu sana kutalii mbuga zetu wenyewe sio kuwaachia wageni tu, unakuja huku kuongeza na uchumi wa Taifa, so please niwacheni kwanza nimalize kuona wanyama nikirudi tutaongea kama kawa hahahaha!!

Le Mutuz
 
le mutuz sema hivi nimepata day waka ya kuwaendesha wazungu kwenda kutalii na sio ww kama umeenda kutalii bali upo kazini!
 
Last edited by a moderator:
le mutuz sema hivi nimepata day waka ya kuwaendesha wazungu kwenda kutalii na sio ww kama umeenda kutalii bali upo kazini!

- Well, hahahahahahhaa nawahi kupanda ndege kurudi Arusha ninatakiwa kwenye special video shooting kwa sababu nina mualiko kule A town Tarehe 14 so wanahitaji my video kwa ajili ya matangazo and then nitaruka tena kurudi Dar, nawahi ok hahahahahaha

Aisee mimi sijaelewa kitu, unaandikaje? Waendeshe kwanza wazungu hao usijeangusha gari sababu ya kuendesha huku unatumia simu!
 
- Well, hahahahahahhaa nawahi kupanda ndege kurudi Arusha ninatakiwa kwenye special video shooting kwa sababu nina mualiko kule A town Tarehe 14 so wanahitaji my video kwa ajili ya matangazo and then nitaruka tena kurudi Dar, nawahi ok hahahahahaha

Le Mutuz

Nachokupendea wewe ni mkamata fursa mzuri,umepata dili la kuwatembeza wazungu umechangamkia fasta
 
- Nipo mbugani Serengeti National Park kutalii naurudi mjini soon, so tutakuja kuongea ila kwa sasa nipe break wacha nimalize utalii kwanza unajua ni muhimu sana kutalii mbuga zetu wenyewe sio kuwaachia wageni tu, unakuja huku kuongeza na uchumi wa Taifa, so please niwacheni kwanza nimalize kuona wanyama nikirudi tutaongea kama kawa hahahaha!!

Le Mutuz

Lulu haujaenda nae mkuu ?
 
mhh sasa hapa madume tunavuliwa boxer hii mipasho ya babu dume tena kiboko lazima kuna unyeti wa jambo hilo wanalo gombania
 
Back
Top Bottom