Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Aiseee kumbe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe babu itakuwa ukienda chooni unakunya akili afu mavi yanabaki kichwani!! Khaa!!!
Kinky
Hawa lazima watakuwa wamechukuliana bwana tu.
Natamani kumuona..Le Mutuz ktk big brother season 9.. Heaven on Earth..we unasemaje best
hah ha haaaaaaa jamani mbavu zangu. ....!
Huyo ni bwabwaa kabakiza kuvaa madera tu achana naeeeee
- No huu ulikuwa ni mjadala muhimu sana kuweka msimamo wa nini ninafanya na nini sifanyi kuhusiana na mitandao, niamini wengi leo hapa wamepigwa na mshangao na majibu yangu najua sana, naomba kwenda kulala now!1
Le Mutuz
- Hakuna silence hapa I am business man Social Media nimewekeza sana toka hii kitu ianze juzi imeniongezea Followers 1000 instagram na Visitors 20,000 kwenye blog that is how I get paid, na besides ninaamini in jino kwa jino ukinochokoza nitakujibu i do not care what heshima yako kaa nayo siihitaji keep it, ok!!
Le Mutuz Big Show
I didn't know what is behind your story so if that is the case keep it up bro!
- ANYWAYS mpira umeisha now I am going home ninaamini nimekusaidia sana kunielewa na wengine kama wewe yote unayoyasema huna FACTS mimi ninazo facts ya kuback ninayoyasema kwa mfano sasa naandaa Miss Ilala sina tatizo kabisa kupata wadhamini, hebu wewe mwenye heshima jaribu nione kama unaweza kupata mdhamini hata mmoja ndio maana nakwambia kwamba unacheza ngoma yangu mkuu pole sana ila mpira umneisha naomba kwenda kulala sasa, kesho asubuhi sana nina mkutano Vodacom, maana nategemea kufanya bonge la show soon!1 so stay tuned ok!!
Le Mutuz
- I guess hakuna la zaidi somo limeleweka naona kwi kwi tu za mtu anayetaka kukohoa lakini hakuna serious argument ndio maana huwa ninawaambia sana Viongozi wa Taifa wa CCM waje hapa kujibu tuhuma zao kwa sababu habari nyingi watu wanaandika hapa hawana FACTS zaidi ya majungu majungu tu ukija kujibu mwenyewe majungu yatapungua sana, look here kabla sijaja thread was almost start to make a sense na majungu majungu wivu na umbeya tizama ilipo sasa hata la kuandika hakuna zaidi ya maneno maneno ya mitaani, people think kabla hujaandika na usidhani kwa sababu una uwezo wa kuandika hapa kwa jina la bandia basi una akili sana hapana.
- Zamani nilikuwa natumia jina la bandia nikawa maarufu sana nikagundua kwamba hata nikitumia jina langu kamili I can still capture that umaarufu na kuutumia kwa manufaa yangu and that is exactly what I did, nimeishi na Wazungu for too long kurudi bongo na kuendelea kuwa mjinga, Wazungu wanakitumia hiki chombo kutafutia pesa wengi wao siku hizi wana retire mapema kisa mitandao, sisi tumebakia matusi na kutafutana uchawi kwenye mitandao, I mean huyu mama masikini wa Mungu honestly ni wa kumuonea huruma kwa sababu she is lost wewe huwezi kuishi Majuu miaka zaidi ya 10 ukabakwa halafu ukanyamaza miaka 2 and then siku moja ukakurupuka na kuanza kudai umebakwa, haya onyesha ushahidi unaenda kutoa RB ambayo kwa majuu hata ukimshitaki mbwa unapewa it does not matter halafu unasema ndio ushahidi wa kubakwa!
- Ok sio siri amesha-generate umaaurufu flani hivi lakini ni umaaurufu based on kutukana watu maarufu kuliko yeye unafikiri nani atawekeza tangazo la kampuni yake kwenye matusi? Hakuna anahangaika na machupi ya kiume nani atanunua na yatanunuliwa mangapi ili aweze kuapata faida? waste of time sawa kwa kunitukana kila wakati anajiongezea umaarufu ambao haumpatii faida yoyote lakini mimi ananisaidia kwa sababu ana uwezo mdogo wa kueelewa anachokifanya anatumia jina langu la biashara kwenye Social Media yaani Le Mutuz and that is what I could ask kwa sababu ananiongezea nambaz kwenye mitandao tunalipwa kutumia namba sio maneno so it works for me kwa matusi ambayo hana FACTS za kuya back up, halafu this is the game huwezi kuuza utumbo ukasema hutaki harufu, so let the woman atukane I love it!!
Jamani naomba ku-retire kwa herini ya kuonana tena kwenye thread nyingine maana hii hamna kitu tena somo naamini limeelewekazzz, ha1 ha1
Le Big show
Wewe ungekuwa babu yangu, ningekata rufaa, you still breathing because it's illegal to shoot you
Kinky
Shida ni moja tu Bonge alimpenda sana huyu dada.hivyo ni hasira za yeye kuachwa na mwehu wake wa mapenzi.malecela wivu kwa mpenzi wake Mbunta Nangaa hamwishii hata akijidai na msomi wake.
Le big show, Le baharia, Le mutus, Le big bill ahahahahaaa! !
@ Downtown Dar.
- Sijawahi kumpenda huyu mama mtumzima hivyo, toka niwe single sijwahi ku-date demu anayezidi umri wa miaka 30 never, halafu nazimikia sana mabebz warefu wembamba U know, huyu alikuwa ni rafiki wa marafiki zangu wa London yeye akaingia siku moja akaja Dar hana pa kufikia akanipigia nikampa pa kulala home kwangu, nikawa namyuonyesha mji siku moja akataka sana kumuona Lady J Dee nikampeleka ndio siku nilipofanya makosa, aliporudi London akaanza kumtukana Jide na Nyumbani lounge ndipo mwanzo wa mimi na yeye kufikia mwisho, the nest thing akaaanza kunitukana na mimi sina tatizo kwa sababu nipo kwenye biashara ya utumbo, ile deep down namuonea huruma sana, alinishitua sana siku moja nikiwa naye akasema amebakwa na Lema nimsaidie kumshitaki hapa bongo, I was like no way nikamuonya asirudie tena yale maneno maana ni upuuzi sasa amegeuka ni msalaba wangu sina tatizo ananiongezea sana biashara I love her for that!!
Le Mutuz