William Miller: Kama Yesu hakujua Hisabati au kutafsiri mambo bora angalikaa Kimya. Mbona siku ya mwisho wa dunia inakokotoleka kirahisi?

William Miller: Kama Yesu hakujua Hisabati au kutafsiri mambo bora angalikaa Kimya. Mbona siku ya mwisho wa dunia inakokotoleka kirahisi?

Huo ni uongo...hakuna sehemu EGW alipinga kuwa Yesu si Mungu. UONGO. Biblia inamtaja Yesu kuwa Mikaeli, malaika mkuu, lakini haimanishi kuwa Yesu si Mungu. Hilo ni jina lake jingine kama alivyoitwa mwana kondoo wa Mungu, au simba wa Yuda. Usipotoshe watu.
THE spirit creature called Michael is not mentioned often in the Bible. However, when he is referred to, he is in action. In the book of Daniel, Michael is battling wicked angels; in the letter of Jude, he is disputing with Satan; and in Revelation, he is waging war with the Devil and his demons. By defending Jehovah’s rulership and fighting God’s enemies, Michael lives up to the meaning of his name—“Who Is Like God?” But who is Michael?
At times, individuals are known by more than one name. For example, the patriarch Jacob is also known as Israel, and the apostle Peter, as Simon. (Genesis 49:1, 2; Matthew 10:2) Likewise, the Bible indicates that Michael is another name for Jesus Christ, before and after his life on earth. Let us consider Scriptural reasons for drawing that conclusion.
Archangel. God’s Word refers to Michael “the archangel.” (Jude 9) This term means “chief angel.” Notice that Michael is called the archangel. This suggests that there is only one such angel. In fact, the term “archangel” occurs in the Bible only in the singular, never in the plural. Moreover, Jesus is linked with the office of archangel. Regarding the resurrected Lord Jesus Christ, 1 Thessalonians 4:16 states: “The Lord himself will descend from heaven with a commanding call, with an archangel’s voice.” Thus the voice of Jesus is described as being that of an archangel. This scripture therefore suggests that Jesus himself is the archangel Michael.
Army Leader. The Bible states that “Michael and his angels battled with the dragon . . . and its angels.” (Revelation 12:7) Thus, Michael is the Leader of an army of faithful angels. Revelation also describes Jesus as the Leader of an army of faithful angels. (Revelation 19:14-16) And the apostle Paul specifically mentions “the Lord Jesus” and “his powerful angels.” (2 Thessalonians 1:7) So the Bible speaks of both Michael and “his angels” and Jesus and “his angels.” (Matthew 13:41; 16:27; 24:31;1 Peter 3:22) Since God’s Word nowhere indicates that there are two armies of faithful angels in heaven—one headed by Michael and one headed by Jesus—it is logical to conclude that Michael is none other than Jesus Christ in his heavenly role.
 
Hii ni mpya...yesu anaomba sisi tusamehewe au yeye ndo anatusamehe dhambi. Mkuu unaenda OP sana. Ndiyo maana watu huwema wasabato si wakristo..naona mnaspiritual flaws nyingi kuliko nilivyodhani mwanzoni. Kosa kubwa ni kuchukua mawazo ya mtu na kuyafanya ndiyo msimamo wa imani. Hellen amwkuwa kama Mao na red book
Waebrania 4:14 Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu.

Je, unazijua kazi za kuhani?
 
Waebrania 4:14 Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu.

Je, unazijua kazi za kuhani?
Waebrania 8: 1-2. Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni, mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu.
 
Huo ni uongo...hakuna sehemu EGW alipinga kuwa Yesu si Mungu. UONGO. Biblia inamtaja Yesu kuwa Mikaeli, malaika mkuu, lakini haimanishi kuwa Yesu si Mungu. Hilo ni jina lake jingine kama alivyoitwa mwana kondoo wa Mungu, au simba wa Yuda. Usipotoshe watu.
Hapa ndipo penyewe....

Wewe tulia....na hiki ndio sababu Wasabato mnamsingizia Yesu amejibanza kwenye kauchochoro huko mbinguni akifanya hukumu ya upelelezi...yani toka 1844 huyo yesu wenu kajibanza tuu....

Hii yote ni kwakuwa Nabii wenu w uongo EGW kutafsiri biblia kwa matakwa yake na kumfananisha Yesu na Malaika....
 
Waebrania 9: 24.
Kwa sababu Kristo hakuingia katika patakatifu palipofanyika kwa mikono, ndio mfano wa patakatifu halisi; bali aliingia mbinguni hasa, aonekane sasa usoni pa Mungu kwa ajili yetu; wala si kwamba ajitoe mara nyingi, kama vile kuhani mkuu aingiavyo katika patakatifu kila mwaka kwa damu isiyo yake; kama ni hivyo, ingalimpasa kuteswa mara nyingi tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu; lakini sasa, mara moja tu, katika utimilifu wa nyakati, amefunuliwa, azitangue dhambi kwa dhabihu ya nafsi yake.
 
Yesu ni Mwana wa Mungu, Yesu ni Mungu!
Kama Yesu ni Mungu...je! Mungu anafanya kazi ya kumuombea nani...?? Mungu atamuombeaje kiumbe aliyemuumba...?

Hayo ni matokeo ya mafundisho ya kimizimu ya Ellen G White ya kumfananisha Yesu na Malaika....

Hayo ndiyo matokeo ya Mafundisho ya kishetani na upinga Kristo ya Ellen G White ya kupinga Utatu Mtakatifu...

Hayo ndio matokeo ya Wasabato wote kutuletea mafundisho yao mapya yaliyotokana na Biblia yao Mpya iitwayo "The Clear Word Bible"
 
Aliyekuambia Mbinguni kuna hekalu ni nani...?
 
Aliyekuambia Mbinguni kuna hekalu ni nani...?
Ufunuo 11:19 Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
 
Ndio maana nimekuita wewe ni tahira tuu uliyepofushwa na mafundisho ya kimizimu ya Ellen G White..

Ungekuwa na akili kabla ya ku-post huo ujinga ungeenda mbele kidogo kwenye Ufunuo uone

Pitia hapa...
Ufunuo wa Yohana 21:22
Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo, ndio hekalu lake.
 
Ndugu nakushukuru kwa kuniita taahira...lakini unapaswa ujue hilo fungu linahusu mji mpya wa Yerusalemu na si mbinguni. Katika Yerusalemu mpya hapatakuwa na hekalu lakini kwa sasa mbinguni kuna hekalu kama fungu la Ufunuo 11;19 linavyosema. Soma pia kitabu cha waabrania kinaelezea vizuri hekalu la mbinguni.

Hebu soma tena vizuri sura yote ya Ufunuo 21 utaona inachoongelea. Ni Yerusalemu mpya ndugu si mbinguni.
 
Kama Yesu ni Mungu...je! Mungu anafanya kazi ya kumuombea nani...?? Mungu atamuombeaje kiumbe aliyemuumba...?

Hayo ni matokeo ya mafundisho ya kimizimu ya Ellen G White ya kumfananisha Yesu na Malaika....

Hayo ndiyo matokeo ya Mafundisho ya kishetani na upinga Kristo ya Ellen G White ya kupinga Utatu Mtakatifu...

Hayo ndio matokeo ya Wasabato wote kutuletea mafundisho yao mapya yaliyotokana na Biblia yao Mpya iitwayo "The Clear Word Bible"
Hayo ni maswali ya kitoto, eti Mungu atamwombeaje mtu aliyemwuumba? Mbona hushangai Mungu atamfiaje mtu aliyemwuumba?

Soma Waebrania 7: 25 Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.

Soma pia 1Yonana 2:1 Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki.
 
Kukosea kutafsiri unabii siyo dhambi...hata wayahudi hawakuulewa unabii wa ujio wa Yesu, walikuwa wanamsubiri masihi mwingine. Hata wanafunzi wa Yesu walikuwa wanajua kuwa Yesu anakuja kusimika ufalme wake duniani, na ndiyo maana alivyowaambia anaenda zake mbinguni hawakumuelewa.

Pointi ni kwamba, huo unabii ulikuwa unalenga tukio fulani, lakini si kama yeye alivyoelewa, swali ni kwamba nyie mnaombeza Miller mnatoa tafasri gani ya huo unabii?
Kwa hiyo Roho mtakatifu anaewaongoza manabii huwa hana hakika na anachomuonesha Nabii?
Au kuna manabii wanaotumia akili zao na kuna manabii wanaotumia nguvu ya Roho wa Mungu kusema unabii?
Hivi unajua kwa kusema ulichosema umemuita Helen na Miller kuwa ni manabii wa uongo bila wewe kujua,maana kukiri wao kukosea ni kukiri uongo wao na ni kukiri kuwa hawakuwa na Roho mtakatifu Bali akili zao tu
 
Hellen ndiyo nani?
 
Hebu soma tena vizuri sura yote ya Ufunuo 21 utaona inachoongelea. Ni Yerusalemu mpya ndugu si mbinguni.
Biblia inapoongelea Yerusalemu mpya popote pale ujue ni mbinguni...

Sasa ndio maana nakuambia umekumbatia mafundisho ya kimizimu ya Ellen Gould White
 
Back
Top Bottom