Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ni muanzilishi na Nabii Mwanamke wa Kanisa la Kissbato.....Hellen ndiyo nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muanzilishi na Nabii Mwanamke wa Kanisa la Kissbato.....Hellen ndiyo nani?
Ni kweli kabisa..list ipo hiviNafikiri huyu jamaa ndio miongoni mwa waasisi wa kanisa la Wasabato yaani SDA.
Haitwi Hellen, ni EllenNi muanzilishi na Nabii Mwanamke wa Kanisa la Kissbato.....
Ufunuo 11:19 Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
Kwahiyo unataka kusema mambo yote aliyoandika katika ufunuo siyo halisi ni ndoto?Hizi zilikuwa ndoto Mkuu na wala sio kwamba ndio uhalisia. Ukichukulia hivyo alivyoona Yohana ina maana Mbinguni kunanyeshaga mvua?
Kwahiyo unataka kusema mambo yote aliyoandika katika ufunuo siyo halisi ni ndoto?
Kwahiyo ndoto ya hekalu ilikuwa inahusu jambo gani halisi?Alichokuwa anakiona Yohana katika ndoto kuliashiria jambo jingine halisi. Kwa mfano anasema aliona Jua Mwanamke amevikwa Jua,Nyota na Mwezi. Kwa hiyo huwezi kusema ni kweli kuna mtu anaweza kuvaa Jua au Nyota. Kumbe hayo maono kila moja lilikuwa na maana yake ambayo Kanisa la Mwanzo walikuwa wakielewa maana yake. Kimsingi lugha na staili aliyotumia ni lugha ya mafumbo iitwayo APOLIPTIC. Ilikuwa ni lazima Yohana awasiliane na wanakanisa katika lugha hiyo ili kumkwepa Kaizari NERON ambaye ndiye leo mnasema ni PAPA ajaye.
Aisee nafuatilia huu uzi kwa karibu sana ngoja niwaite wakuu hawa AROON mitale na midimu
YESU ni mtu, alikuwa muhubiri na mponyaji. Akapatwa na hatia ya uchochezi akahukumiwa kifo kwa kuwambwa msalabani. Akafa, akazikwa na mtamsubiri sana arudi na kamwe hatorudi.Yesu ni Mwana wa Mungu, Yesu ni Mungu!
Mvua ipo na wanalima sana tu matikiti maji.Hizi zilikuwa ndoto Mkuu na wala sio kwamba ndio uhalisia. Ukichukulia hivyo alivyoona Yohana ina maana Mbinguni kunanyeshaga mvua?
Ndio shida yako, uongo na uzandiki,AROON alishakuja akaishia kuporomosha matusi tu. Huyo kama hujamgundua ni mzuri sana kwa mijadala ambayo ana ready made answers. Nje ya hapo huwezi kumuona akitia mguu.Na hii ndio shida ya wenzetu. Majibu yao kwa masuala kadhaa yanafanana dunia nzima. Anaandaa mtu mmoja na kisha wengine wanafanya tu kazi ya duplication.
Kwahio Kama Yesu ni Malaika mkuu , na Yesu ni Mungu,Basi Mungu ni Malaika Mkuu! Hii inashangaza za Kuambiwa changanya na za kwakoTHE spirit creature called Michael is not mentioned often in the Bible. However, when he is referred to, he is in action. In the book of Daniel, Michael is battling wicked angels; in the letter of Jude, he is disputing with Satan; and in Revelation, he is waging war with the Devil and his demons. By defending Jehovah’s rulership and fighting God’s enemies, Michael lives up to the meaning of his name—“Who Is Like God?” But who is Michael?
At times, individuals are known by more than one name. For example, the patriarch Jacob is also known as Israel, and the apostle Peter, as Simon. (Genesis 49:1, 2; Matthew 10:2) Likewise, the Bible indicates that Michael is another name for Jesus Christ, before and after his life on earth. Let us consider Scriptural reasons for drawing that conclusion.
Archangel. God’s Word refers to Michael “the archangel.” (Jude 9) This term means “chief angel.” Notice that Michael is called the archangel. This suggests that there is only one such angel. In fact, the term “archangel” occurs in the Bible only in the singular, never in the plural. Moreover, Jesus is linked with the office of archangel. Regarding the resurrected Lord Jesus Christ, 1 Thessalonians 4:16 states: “The Lord himself will descend from heaven with a commanding call, with an archangel’s voice.” Thus the voice of Jesus is described as being that of an archangel. This scripture therefore suggests that Jesus himself is the archangel Michael.
Army Leader. The Bible states that “Michael and his angels battled with the dragon . . . and its angels.” (Revelation 12:7) Thus, Michael is the Leader of an army of faithful angels. Revelation also describes Jesus as the Leader of an army of faithful angels. (Revelation 19:14-16) And the apostle Paul specifically mentions “the Lord Jesus” and “his powerful angels.” (2 Thessalonians 1:7) So the Bible speaks of both Michael and “his angels” and Jesus and “his angels.” (Matthew 13:41; 16:27; 24:31;1 Peter 3:22) Since God’s Word nowhere indicates that there are two armies of faithful angels in heaven—one headed by Michael and one headed by Jesus—it is logical to conclude that Michael is none other than Jesus Christ in his heavenly role.
Asante mkuu. Unaweza kutoa maswali elekezi maana naona mada imekaa jumla jumla na kilawama zaidi.Aisee nafuatilia huu uzi kwa karibu sana ngoja niwaite wakuu hawa AROON mitale na midimu
Anaishi kukarili siyo anachojuaAROON alishakuja akaishia kuporomosha matusi tu. Huyo kama hujamgundua ni mzuri sana kwa mijadala ambayo ana ready made answers. Nje ya hapo huwezi kumuona akitia mguu.Na hii ndio shida ya wenzetu. Majibu yao kwa masuala kadhaa yanafanana dunia nzima. Anaandaa mtu mmoja na kisha wengine wanafanya tu kazi ya duplication.
Hii hatorudi imekufumbua wewe ni naniYESU ni mtu, alikuwa muhubiri na mponyaji. Akapatwa na hatia ya uchochezi akahukumiwa kifo kwa kuwambwa msalabani. Akafa, akazikwa na mtamsubiri sana arudi na kamwe hatorudi.
Siyo mada ya kipuuzi sema hauna vipisi vya magazeti vya kunukuu majibu,Ndio shida yako, uongo na uzandiki,
Kuna matusi nimetukana? Nio quote hayo.matusi, au kwakuwa amri kumi kwenu ziliishia msalabani hivo ruksa kusema UONGO?
MADA YAKO NIMEONA NI YAKIPUUZI, MAANA USHAJIBIWA, SANA ILA UNAKAAGA KWA KIPIND THEN UNARUDI NA MASWALI YALE YALE
NA UTAMBUE HAKUNA ANAYEFANYA DUBLICATION, mada zangu, michango yangu 80% ni quotation za BIBLIA ,
Sinaga mbwembwe za Mapokeo kama.nyinyi waabudu masanamu
Okay naona mkuu SANCTUS ANACLETUS ameacha maswali ya kuongoza mjadala ambayo ungesaidia kuyajibu kwa faida ya wengi labda niyapaste upyaAsante mkuu. Unaweza kutoa maswali elekezi maana naona mada imekaa jumla jumla na kilawama zaidi.
Kama Day /Year principle aliyotumia miller imetumiwa hata kabla yake kuthibitisha utimilivu mwingi wa Unabii.
Kutakaswa pa patakatifu na kuja kwa Yesu alikosea. Kama wasabato hawaamini siku flani defined Yesu atakuja. Na hili likof wazi ktk Bibilia na machapisho yote ya wasabato pamoja na maandishi ya Eliza. G.White tunayeamini ni nabii wa Mungu pasipo shaka. Sabato namaanisha sda.
Cc Sanctus