William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

Kumekucha, ni mpango wa muda mrefu sana kuiangusha Dollar...
 
Hata wewe ni zombie la east mkuu.
Najaribu kukuamsha mkuu,ila kama ni sikio la kufa huta-amka.Fuata link ifuatayo uone kwamba hata wale Marekani wanaopata ugali wao Marekani wanakubali kwamba dollar sasa ipo mashakani.Kama CNN na Fox news nao wameliongelea swala hilo, ujue hali ni mbaya.Lazima watakuwa wameambiwa na mabosi wao kwamba waanze kusema ukweli.

Najaribu kukuamsha mkuu,ila kama ni sikio la kufa huta-amka.Fuata link ifuatayo uone kwamba hata wale Marekani wanazopata ugali wao Marekani wakakubali kwamba dollar sasa ipo mashakani.Kama CNN na Fox news nao wameliongelea swala hilo, ujue hali ni mbaya.Lazima watakuwa wameambiwa na mabosi wao kwamba waanze kusema ukweli.

Vyombo vya habari CNN na Fox News ni independence news media sio za serikali, ni huru sana sio kama TBC au KBC
 
Vyombo vya habari CNN na Fox News ni independence news media sio za serikali, ni huru sana sio kama TBC au KBC
Alikuambia nani mkuu,CNN na Fox News ni mouthpieces za serikali na ni mali ya the NWO Cabal.Ziwe independent,wapi,Marekani!You are joking.
 
The dollar’s dominance is unlikely to change in the near future, and it will remain the principal currency of international trade and transactions, No other currency is close to replacing it. But its stranglehold on the global financial system could weaken if more countries start trading in other currencies and reduce their exposure to the dollar.
Really?May be you need to listen to this👇,you are burrying your head in the sand.

Najaribu kukuamsha mkuu,ila kama ni sikio la kufa huta-amka.Fuata link ifuatayo uone kwamba hata wale Marekani wanaopata ugali wao Marekani wanakubali kwamba dollar sasa ipo mashakani.Kama CNN na Fox news nao wameliongelea swala hilo, ujue hali ni mbaya.Lazima watakuwa wameambiwa na mabosi wao kwamba waanze kusema ukweli.

Wewe ni mfuasi wa east na una chuki binafsi na serikali ya marekani kisa they dominate.Ulitaka wavaa kanzu ndio wadominate
 
Really?May be you need to listen to this👇,you are burrying your head in the sand.

Hii sasa pointi mpatie
 
Wewe ni mfuasi wa east na una chuki binafsi na serikali ya marekani kisa they dominate.Ulitaka wavaa kanzu ndio wadominate
Sina chuki na watu wa Marekani,nina chuki na Serikali ya Marekani kwa kuwa ni serikali ovu Sana na imesambaza uovu Dunia nzima,ukiwepo ushoga.
 
Unaifahamu Mareka ni lakini?
Mkuu naifahamu Marekani kuliko hata Wamarekani wenyewe.Americans are extremely ignorant,frankly ni kama Kondoo wanaopelekwa machinjoni. Wamelishwa mi-opioids Kama Fentanyl na misumu mingine sasa wamekuwa mazombie wanaamini kila ujinga wanao-ambiwa,,very sad.
 
Pole
 
Hii sasa pointi mpatie
Kwa mtindo huu👇,Dollar haiwezi ku-survive mkuu,unajidanganya,chikua hatua.

China, Brazil strike deal to ditch U.S. dollar for trade​

29 MARCH 2023

China and Brazil have reached a deal to trade in their own currencies, ditching the US dollar as an intermediary, the Brazilian government said on Wednesday, Beijing’s latest salvo against the almighty greenback.
The deal will enable China, the top rival to US economic hegemony, and Brazil, the biggest economy in Latin America, to conduct their massive trade and financial transactions directly, exchanging yuan for reais and vice versa instead of going through the dollar.
“The expectation is that this will reduce costs... promote even greater bilateral trade and facilitate investment,” the Brazilian Trade and Investment Promotion Agency (ApexBrasil) said in a statement.
China is Brazil’s biggest trading partner, with a record US$150.5 billion (S$200 billion) in bilateral trade last year.
The deal, which follows a preliminary agreement in January, was announced after a high-level China-Brazil business forum in Beijing.
Brazilian President Luiz Inacio Lula da Silva was originally scheduled to attend the forum as part of a high-profile China visit, but had to postpone his trip indefinitely on Sunday after he came down with pneumonia.
The Industrial and Commercial Bank of China and Bank of Communications BBM will execute the transactions, officials said.
China has similar currency deals with Russia, Pakistan and several other countrie
 
'Us Dollar is worhtless' Man are you serious?

The U.S dollar is officially crowned the world's most traded and reserve currency and is backed by the world's largest gold reserves followed by Euro.

Una mahaba sana na Ruto eeeh?
Mtoa mada ni muongo!

Kinachoendelea huko Kenya ni kuwa kuna uhaba mkubwa wa Us dollar, na sababu kuu ni demand kubwa ya dollar kwa petroleum importers.

Sasa serikali ya Ruto imetoa tenda Kwa kampuni moja ya Saudi Arabia ku supply mafuta Kenya kwa malipo ya baadaye under government guarantee (Kwa US dollar of course). So, makampuni ya mafuta ya Kenya yaliyokuwa yanahitaji dollar Kwa wingi kuagizia mafuta, sasa yatanunua hayo mafuta Kwa Kenya shillings locally.

Maana yake ni kuwa demand ya dollar itapungua, so akiba ndogo waliyonayo itatosheleza Kwa sekta zingine.

Sasa, rais Ruto alichosema kwenye clip ni kutahadharisha madalali (foreign currency brokers) wanaohodhi au kuficha forex ili kupata faida kubwa kuwa zitawadodea, na watapata hasara.

Mleta mada kafupisha clip halafu kajazia uzushi🙄

Mtoa mada ni muongo!

Kinachoendelea huko Kenya ni kuwa kuna uhaba mkubwa wa Us dollar, na sababu kuu ni demand kubwa ya dollar kwa petroleum importers.

Sasa serikali ya Ruto imetoa tenda Kwa kampuni moja ya Saudi Arabia ku supply mafuta Kenya kwa malipo ya baadaye under government guarantee. So, makampuni ya mafuta ya Kenya yaliyokuwa yanahitaji dollar Kwa wingi kuagizia mafuta, sasa yatanunua hayo mafuta Kwa Kenya shillings locally.

Maana yake ni kuwa demand ya dollar itapungua, so akiba ndogo waliyonayo itatosheleza Kwa sekta zingine.

Sasa, rais Ruto alichosema kwenye clip ni kutahadharisha madalali (foreign currency brokers) wanaohodhi au kuficha forex ili kupata faida kubwa kuwa zitawadodea, na watapata hasara.

Mleta mada kafupisha clip halafu kajazia uzushi🙄

Sikiliza mkuu,upo ushahidi wa kutosha kwamba the days of the US$ are numbered kama reserve currency na medium of exchange, issue ya Rais Ruto imetolewa kama ushahidi tu.Fuatilia mada,usirukie kwa mbele.Nimetoa links tatu kwenye mada zisikilize na by the way ziko nyingi,ukweli uko wazi,tunabishana nini mkuu?

Almost 100 countries zinaikimbia dollar as a medium of exchange,doesn't that alone tell you the whole story?Hivi you will bury your heads in the sand mpaka lini,jiandaeni for the worst scenario.

The first few words of the Ruto clip carries the whole story,and incidentally they tally with the situation on the ground,inside the US government itself and what other countries accross the World are doing to dissociate themselves from using the US dollar as reserve currency and medium of exchange.

Most countries are fed up with US bullying,theft and evil.What the US did to Russia,literally daylight theft of Russias' Foreign Reserves,stealing Syria and Iraq oil,Stealing DRC resources has shocked many and has not gone unnoticed,so countries are now taking appropriate steps.It is very sad for the US.
 
Sikiliza mkuu,upo ushahidi wa kutosha kwamba the days of the US$ are numbered kama reserve currency na medium of exchange, issue ya Rais Ruto imetolewa kama ushahidi tu.Fuatilia mada,usirukie kwa mbele.Nimetoa links tatu kwenye mada zisikilize na by the way ziko nyingi,ukweli uko wazi,tunabishana nini mkuu?
Kwa hiyo ni lini wanaacha kutumia??

The rise of the US dollar black market​

The demand for dollars is highest among importers. This is amid the US currency’s hiked exchange rates, and the rise of a black market for the currency. While CBK rate is currently 127.80, the black market rate is as high as 139.

The Kenya Association of Manufacturers (KAM) has stated that many manufacturers and processors are now struggling to do business due to scarcity of dollars in commercial banks which they use to source for raw materials in foreign markets.

Kenyans are crossing to Tanzania in search of US dollars​

Importers blame panic purchase of dollars from banks and forex bureaus to an increased cost of doing business, and have been crossing the border to Tanzanian commercial banks to source for US dollars.

In the meantime, Kenya’s treasury has blamed manufacturers for hoarding dollars.
 
Kila nchi ichague sarafu ya kulipia mizigo ie Yuan, Rupee, Dirhams, Riyal, Dollar.

Swali linakuja

Tunauza vichache nje, je tukiamua tumia Yuan kama sarafu ya kuuziana na China, sisi tutapata Yuan kutoka wapi?

Au ndo yale yale Yuan itaanza nayo kucheza hadi kufika usawa wa dollar?
 
Kwa hiyo ni lini wanaacha kutumia??

The rise of the US dollar black market​

The demand for dollars is highest among importers. This is amid the US currency’s hiked exchange rates, and the rise of a black market for the currency. While CBK rate is currently 127.80, the black market rate is as high as 139.

The Kenya Association of Manufacturers (KAM) has stated that many manufacturers and processors are now struggling to do business due to scarcity of dollars in commercial banks which they use to source for raw materials in foreign markets.

Kenyans are crossing to Tanzania in search of US dollars​

Importers blame panic purchase of dollars from banks and forex bureaus to an increased cost of doing business, and have been crossing the border to Tanzanian commercial banks to source for US dollars.

In the meantime, Kenya’s treasury has blamed manufacturers for hoarding dollars.
Nirudie:100+ countries wame-dump use of the US Dollar,including China,the largest World economy(wanasema ni US,lakini that is history).Nikuulize a very simple question,which does not need even a Diploma in Finance,what does 100+ countries dumping use of the US$ in their monetary transactions imply?And what? US Dollars in short supply na Federal Reserve wanafyatua kama fliers!Huo ni udaku na a fabrication, ni habari za mtaani hizo,habari za kweli Ni hizi👇.Achana na vitaarifa vya kipuzi vya mtaani vinavyotaka kuonyesha kwamba hakuna tatizo,the American a economy and the US $ has entered a period of turmoil never seen before in the History of America,prepare for the worst scenario, if you depend on the Empire of Lies and Evil for your daily bread.

Attachments

  • 8tPCWdyr4WWPN_nu.mp4
    9 MB
Back
Top Bottom