Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Can you try to imagine what these two lovely kids think?
They think that adults are stupid, why should they fight while they can talk?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikiliza na kutazama hotuba ya Mh. Rais Uhuru Kenyatta na Mh. Ruto. Makamu wa Rais, kumbe mambo yakiwa 'magumu- ICC the Hague' hotuba za 'kizungu' kwa wananchi zote hutoweka na ghafla wanakuwa 'waswahili' kwa kutumia lugha ya Kiswahili ili wananchi wa kawaida walio wengi wawaonee huruma, sikiliza/ tazama clip hii ya jana : source: NTV Kenya: Uhuru reads riot act to the ICC.
Sijasikia au kuona sehemu Odinga anasema wauweni wakikuyu au kalenjins..kwa nini wajaluo hawakuwauwa wakikikuyu? Was it a war between luos and kikuyus..hii ni weak defence..kama ruto anataka odinga nae awajibishwe then anatakiwa ku admit makosa alafu aseme alitumwa na odinga au odm..the same goes to uhuru,akubali makosa alafu kibaki nae awajibishwe,naona wanatafuta wa kufa nao....mnyukano wa wakalenjen na wakikuyu ni hasira za toka 1992 toka enzi za youth for kanu na ruto alikuwa mmoja wa viogozi wao..historia ipo wazi kabisa..
Kesi inaendelea,tunaangalia live bila chenga...kwa mashtaka haya sizani kama bw Ruto atasalimika.upande wa mashtaka wameonya, ''wale wanatemper na mashahidi watachukuliwa hatua za kisheria'' huyu steynberg na huyu mama wamejipanga kuwaangamiza kabisa
Kabaridi,
Salimia GG ukimuona aisee. Can't believe this guy is still walking the corridors of political power...ever since the Kenyatta days.
![]()
NI AJABU NA KWELI !!!!!!!![]()
William Ruto aelekea ICC kwa kesi.
![]()
Naibu rais William Ruto anakabiliwa na mashtaka ya kuchocheza ghasia za baada ya uchaguzi Kenya
Naibu rais wa Kenya William Ruto, ameondoka kuelekea Hague Uholanzi ambako anakabiliwa na kesi ya uhalifu dhidi ya binadamau katika mahakama ya ICC. Kesi yake inatarajiwa kuanza siku ya Jumanne.
Maafisa wakuu wa serikali walimuaga Ruto katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi.
Bwana Ruto na rais Uhuru Kenyatta, wameshtakiwa kwa kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu, ingawa wanakana kuhusika na mauaji yaliyotokea kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007-2008.
Mnamo siku ya Jumapili, Rais Kenyatta alisema kuwa ICC lazima isikize kesi hizo kwa ratiba nzuri ambayo itawapa viongozi hao muda wa kurejea nyumbani kwani wote hawawezi kuwa nje ya nchi kwa wakati mmoja.
Kesi dhidi ya Kenyatta inatarajiwa kuanza kusikilizwa mwezi Novemba.
Mkuu wa kituo cha redio kilichodaiwa kuchochea mapigano katika mojawapo ya maeneo yaliyokumbwa na mapigano, Joshua arap Sang , ameshtakiwa kwa kosa la kuchochea mapighano na kusaidia watu kuyaandaa mapigano hayo.
Yeye pia amekanusha madai hayo.
Tuhuma dhidi ya wanaume hao watatu, yanatokana na ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007, ambapo zaidi ya watu 1,000 waliuawa na wengine laki sita kuachwa bila makao.
Kenyatta na Ruto walikuwa mahasimu wa kisiasa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2007 na wanatuhumiwa kwa kupanga na kusaidia kutekeleza mapigano kati ya makabila hasimu.
Wadadisi wanasema kuwa kesi zao katika mahakama ya ICC ziliwasaidia katika kampeini zao kwani walizitumia kukosoa mataifa ya magharibi kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi hizo.
Mnamo siku ya Jumamosi, Kenyatta aliwakabidhi hundi ya zaidi ya dola elfu nne familia za watu ambao walilazimika kutoroka makwao kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi mkuu na ambao bado walikuwa wanaishi katika kambi za wakimbizi.
Wiki jana bunge la Kenya lilipitisha hoja ya mjadala wa Kenya kujiondoa katika mahakama ya ICC.
Chanzo: BBC
Mtu mmoja kaandika haya sehemu moja na nikahisi tofauti na wengi wanavyodhania. Hawa jamaa mbinu kubwa waliyotumia ni kuwa 'silence' mashahidi ila palipo na ukweli...., pia ukweli kuwa kesi ni kesi, it is only the end which can justify the mean!NI AJABU NA KWELI !!!!!!!
Tangu wabunge na senet akili yote kwa Uhuruto- hakuna hata mmoja anayezungumzia walioathirika!!!!!!!!!!!! Pia nashangaa na wanaotoa comments kuhusu matokeo wakati hata kesi haijafikia hata nusu!!!!!!! Vinginevyo ni kujifariji!!!!! Vinginevyo kinachoonekana ni ishara ya kuongezeka idadi ya viongozi wenye sifa kamanchi za mashariki ya kati maana hakuna hata mmoja anayetetea haki ya walioathirika.
ICC ni chombo cha wakubwa. Kinachoendelea sasani ni mbinu zakisaikolojia kuwapima akili washitakiwa na suppoter zao. Acha klesi ifikie penye moto utasikia wanayozungumza. Namalizia kwa kuwaonea huruma sana wanyonge walioathirika katika janga hili. MUNGU IBARIKI AFRIKA NA WAATHIRIKA KENYA-POLENI!!!!!!!!!!!!!!
Mr. Ahmed Khan, the lawyer for the Kenyan Deputy President at the ICC trials, on Tuesday made a statement that has wounded my self-esteem as an African and one who has before been forced to seek safety elsewhere. Dismissing Prosecution witnesses Khan likened them to asylum seekers (Africans) who he accused of routinely lying so as to get asylum (in the West). He repeated this claim today in a BBC interview. Most astonishing is that coated in beautiful English was a remark that carried a value of racism, the type routinely banded around against African victims of oppressive systems who flee to the West for fear of persecution. Khan has grown up in the serene atmosphere of the West and therefore has no idea of living in fear of persecution and death. He can therefore be forgiven of his school boy's ignorance of reality. But to us victims of brutality this is as real as oxygen.
Nimesikiliza na kutazama hotuba ya Mh. Rais Uhuru Kenyatta na Mh. Ruto. Makamu wa Rais, kumbe mambo yakiwa 'magumu- ICC the Hague' hotuba za 'kizungu' kwa wananchi zote hutoweka na ghafla wanakuwa 'waswahili' kwa kutumia lugha ya Kiswahili ili wananchi wa kawaida walio wengi wawaonee huruma, sikiliza/ tazama clip hii ya jana :