Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Alikuwa wapi enzi hizo?Mimi nilimjua kwenye game ya mpira jamaa ilikuwa nikukatana na timu yake anakaba sana wachezaji wangu hawatoboi nikatabiri akiendeleza atakuwa bomba japo kwenye gemu nikaja kushangaa yupo Arsenal anapiga Kazi.
Marseille kwenye DLS22Alikuwa wapi enzi hizo?
Nimesema ni mmoja kati ya mabeki wa kati wazuri ikimaanisha wapo na wengine.Aymeric laporte,Ruben dias,toby. Alderweireld Jan verntoghen,van dijk ,soyuncu Kuna kipindi waliwahi kukiwasha sana ila baada ya muda wakata moto kabisa ww mchezaji wako hajacheza game za champions league,hajacheza msimu mzima akamaliza ushaaza kumsifu eti moja kati ya mabeki Bora wa Dunia kuwa serious kidogo Kwa hizo mechi na Cardiff city na Norwich subir acheze mechi nying za kutosha ndio urudi apa kumpa promo huyo beki wako hafiki Ata nusu ya uwezo wa beki kamJese gimenez ,bado hujawataja kina Antonio Rudiger,bado hujamtaja Romeo wa spurs
Hakusajiriwa na unai emery, emery Hana akili ya kumsajiri SalinaNashukuru Kwa kulitambua hilo much thanks to unai emery
Nikusaidie kusindikiza uzi wako na takwimu za jana za Saliba.Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille.
Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali.
Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
Kijana amekuja vizuri sana. ππNikusaidie kusindikiza uzi wako na takwimu za jana za Saliba.
Kijana kaifanya arsenal iwe na ukuta ulioimarika japo makosa ya magalhanes bado yanasumbua.Yule dogo akiendelea vile atatua Madrid.
Hakika mkuu, yule ndio angalau anafanya kazi ya Sol Campbell miaka ile. Hope hatutapata majeruhi na tutarudi tukiwa kamili.Saliba Hakuna tunacho mdai [emoji1544] leo nilikua namfatilia kila hatua nikagundua ni aina ya mabeki tulio wakosa mda mrefu Arsenal
Msimu nibasi tu kombe la Dunia limekuja kutuwekea kiwingu