Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille.
Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali.
Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali.
Kila la heri kwake katika miaka ijayo.