William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille.

Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali.

Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
 
Mimi nilimjua kwenye game ya mpira jamaa ilikuwa nikukatana na timu yake anakaba sana wachezaji wangu hawatoboi nikatabiri akiendeleza atakuwa bomba japo kwenye gemu nikaja kushangaa yupo Arsenal anapiga Kazi.
 
Alikuwa wapi enzi hizo?
 
Aymeric laporte,Ruben dias,toby. Alderweireld Jan verntoghen,van dijk ,soyuncu Kuna kipindi waliwahi kukiwasha sana ila baada ya muda wakata moto kabisa ww mchezaji wako hajacheza game za champions league,hajacheza msimu mzima akamaliza ushaaza kumsifu eti moja kati ya mabeki Bora wa Dunia kuwa serious kidogo Kwa hizo mechi na Cardiff city na Norwich subir acheze mechi nying za kutosha ndio urudi apa kumpa promo huyo beki wako hafiki Ata nusu ya uwezo wa beki kamJese gimenez ,bado hujawataja kina Antonio Rudiger,bado hujamtaja Romeo wa spurs
 
Nimesema ni mmoja kati ya mabeki wa kati wazuri ikimaanisha wapo na wengine.

Mwaka jana alikuwa top 5 pale ligue 1 ambayo ina timu bora. Amekuwa bora pale arsenal mpaka sasa.

Nakubaliana na wewe kwamba tumpe muda zaidi.
 
Nashukuru Kwa kulitambua hilo much thanks to unai emery
Hakusajiriwa na unai emery, emery Hana akili ya kumsajiri Salina

Alisajiriwa kipind Cha Emery

Hata martinel hakusajiriwa na emery ila alisajiriwa kipind Cha Emery
 
Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille.

Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali.

Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
Nikusaidie kusindikiza uzi wako na takwimu za jana za Saliba.
 
Attachments

  • IMG_20221002_143053.jpg
    IMG_20221002_143053.jpg
    112.6 KB · Views: 8
Saliba Hakuna tunacho mdai [emoji1544] leo nilikua namfatilia kila hatua nikagundua ni aina ya mabeki tulio wakosa mda mrefu Arsenal

Msimu nibasi tu kombe la Dunia limekuja kutuwekea kiwingu
 
Hakika mkuu, yule ndio angalau anafanya kazi ya Sol Campbell miaka ile. Hope hatutapata majeruhi na tutarudi tukiwa kamili.
 
Back
Top Bottom