Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Duh hata kwenye siasa hajulikan kwanza ndio nasikia jina lake hana madhara afungashe virago
 
Mbona magufuli Alisema mwanza wasivunjiwe ndo waliompa kura,ila maeneo wengine yote aliiba kura za Lowasa ! Na hili nalo linafanywa,kikabila,kisukuma au Kitanu yusiligi ??? Msisahau kauli za bwana wenu na kuchonga tu kama ndimi zimeng'ooka !
 
..wale kima walionunuliwa majuzi toka chadema hawafiki hata moja ya elfu ya caliber ya nyalandu...ccm inakufa..tena kwa kasi kubwa....maana hata watu wa lowassa waliobaki ccm sasa wamekaa mkao wa kutimka mda ukifika...achilia mbali watu wa nyalandu....

..mbegu ya ukabila inayopandwa na uongozi wa awamu hii inaota kwa kasi...na sasa makabila yanayokandamizwa yataanza kuungana.....na itakuwa kaskazini vs kanda ya ziwa....na mda utasema....tayari Arusha....Moshi ...na Mbeya wameliona hili.....mda utasema......
 
Aondoke tu, mbona kachelewa aisee, hana faida kwa chama
 
Sasa kika anaekuja CDM anataka uraisi sikutuharibia chama chetu.
 
Wana kila sababu, ndg huungana kumpinga adui ukizingatia wanataka kummaliza Lisu, waungane tu
Wanyaturu sio wapuuzi kiasi hicho. Hii ni propaganda ya machadema ya kutaka kuwatenganisha Wanyaturu na Wairamba.
 
Wanyaturu sio wapuuzi kiasi hicho. Hii ni propaganda ya machadema ya kutaka kuwatenganisha Wanyaturu na Wairamba.
Hao ni watani wa jadi na wanadharauliana sana.
Nakuhakikishia kitendo mlichomfanyia Lisu kimeamsha hisia na wameanza kuungana
 
Dua la kuku.
 
Hapo hizo fitina mtaje MTU mmoja wanamwita alhaji Misanga baada ya kushindwa kura za maoni alipata bp kunusuru mambo walikaa wakaongea kwa busara ndio akapata ukuu wa wilaya. Kingu ni msanii anatumia sana event kuonyeaha anafanya kazi lakini utoto mwingi ahadi hewa zisizotimilizika. Siasa za kukamiana na kuchafuana kuliko kujenga umoja ninapomuona naona Giza na unafiki mkubwa katika siasa
 
...5. Ni kijana mwaminifu na mlokole asiyekua na doa hata kidogo, features zake ni sawa na za Nyalandu...
Kwa hiyo sasa Nyalandu hana doa hata kidogo baada ya kuhamia Chadema? Ha ha ha, maajabu ya mabavicha hayaishi.
 

Sasa umeongea. Nini. Ulokole Wa mtu utaujua wewe. Afu umeweka falacy za ajabu. Hivi humu JF. Lini Watu wataelimika na hata Logic ile ya General studies. Kujua hoja. Major minor na conclusion Binadamu huwezi msifia Hasa katika mambo ya Ndani ya moyo wake. Majambazi wengi handsome. Na malaya wengi ni sura nzuri na za upole. Chadema jiundeni kWa misingi na sera. Sasa Hivi mmekuwa kama Wanawake Wa kizaramo. Gubu. Umbeya. Hoja na ajenda zisizo na tija kwa yeyote. Picha ya Lisu Hospital sasa imekuwa sera ya kusaka sympathy —-Chama cha Sympathy ..chama cha kupinga mambo ambayo ni ya Nchi. Nchi ikinunua chupi. Utaskia Mbona ya Blue na Sio kijani. So sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…