Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Mlokole wa ukweli kabisa hawezi kaa ccm hata wiki; niliwahi kuwaambia rafiki zangu kadhaa siku za nyuma. Tena ngoja nitumie maneno haya badala ya neno mlokole; "Mcha Mungu wa ukweli kabisa" hawezi kukaa ccm hata wiki 1, hilo nina uhakika nalo. Hivi naibu spika wa bunge nae si nasikia ni MLOKOLE!? Check rafu zake sasa, ingawa siku ile Tundu aliyopigwa risasi huyu mama ndiye aliyekalia kiti na Tundu pia alipata muda wa kuchangia issue Fulani, mama alikua muungwana sana that day kwa Lissu tofauti sana na siku zingine, may be roho mtakatifu alimuonesha kitu kuhusu Lissu; nawaza kijinga jinga tu.
 

mkuu aliyeitisha ccm wakati anaondoka ni lowassa, hatakuja kutokea kama yeye
 
Mkuu wao wako bize kununua madiwani wetu sisi tunachukua wabunge na viongozi wao kwa kutumia akili tu, aisee Kweli ukitaka kuipiga ccm tumia akili tu inatosha


Dunia iko kama ilivyo kutokana na akili ya binadamu aliyopewa na Mungu wetu Mtukufu.

Nampenda sana Mwenyezi Mungu mana alimpa binadamu akili.
Akili ni mali.
 
Aisee. Kama huyo kijana atarudi jimboni mi ntampa kura, he's so intelligent. Kingu Hana chake Na naiona Singida ikiwa Kama Arusha

Mkuu nitakuja kusaidia kupiga kampeni kama Kweli atakuja jimboni he is intelligent ukichanganya na exposure yake he is great
 
Umeficha jina badala ya kuandika Kingu umetaja Wilson.
Anayefuata ni Kingu na Nape
 
Hata mamvi mlisema hivyohivyo
 
Hii habari/tetesi yako ni ya kutunga...Wilson Elisha Nkhambaku ameikanusha...Ungejaribu kuja na lingine Chifu...

 
kwani mbona lowassa aliondoka na alikuwa zaidi ya huyu mwendawazim malaya nyalandu , tena alikuwa na marafiki ccm zaidi ya mara mia ya malaya nyalandu , coastal na tanzanair wanamjua kawamaliza sana pae.
 
Magwiji waliondoka TANU, na CCM lakini mwisho wa siku chama hicho[pamoja na vyama vyote vilivyosajiliwa] ni taasisi na hakuna mtu ambaye anaweza jigamba kuwa yeye ana hatimiliki.
 
Wana-Singida wameanza kuamka baada ya Nyalandu kuondoka.
Hata Mkoa mzima tu wa Singida (1 300 000) watu wake wanazidiwa kwa mbali na Mkoa mmoja tu wa kisukuma wa Simiyu (1 500 000), hapo hujaweka Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita. Achilia mbali wasukuma waliojazana Tabora na Rukwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…