Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Kumbe kabila letu hii hadi kenya maana wametwambia tuige siasa za kenya.
Togwa ni togwa ata likichemshwa.
eti wanakuja viongozi 100 na Lowasa alisema wangapi?
 
Bado wa mule ndani ya Ccm ma-informers wetu...tuna chadema wengi ndani ya CCM..
Ukipata stori ya Nassari alivyopata yaani aliyempa zile video za kurecod madiwani wakati wanawanunua utajua 2020 njia ni nyeupe mnoo kwa ukawa
 
Kama CCM haikuyumba alipoondoka Lowassa, basi ni hakika haitoyumbishwa na Nyalandu na haitayumba kamwe!
 
Labda wanakwenda kikanda. Naona hata wale wa zamani waliotoka CCM walitoka kikanda zaidi.
 
Khambaku ana msimamo huyo sidhani kama atafanya maamuzi ya pupa. Isitoshe hana kashfa za kutisha na CCM haijamkosea chochote zaidi imempa heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…