HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
Mafuriko ya Lowasa ni endlessHivi Lowasa alikuja na mafuriko ya watu wangapi?
Kama siyo maigizo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuriko ya Lowasa ni endlessHivi Lowasa alikuja na mafuriko ya watu wangapi?
Kama siyo maigizo!
Asante sana,Mungu akubariki na kuzilipa kebehi na dharau zako kwa LissuLisu mwenyewe hata kusimama hawezi.
😀😀😀Hahahaha nimecheka kwa nguvu mkuu duh!hapana tuna shida na Maalim!
Haya mambo ndio machadema yanainjoi.Hakuna namna inabidi iwe hivyo
Sina uhakika kama Mwigulu hata JOIN fungu hili hata kama kwenda ACT Wazalendo
Mungu mtu wenu ndiye mkabila na mzandikiKwa hiyo Wanyaturu wanafanya maamuzi yao kikabila?
Mwigulu wetu mkuu...Bado mwigulu naye tunataka aje ukawa
Inawezekana mbegu anayoipanda baba enu sizonje ya kufanya maamuzi kikabila ndo inamea kama unavowaza.who knows?Kwa hiyo Wanyaturu wanafanya maamuzi yao kikabila?
nani huyo unayemuulizia ?Wapi alisema wasukuma wasibomolewe?
Kwa hiyo Wanyaturu wanafanya maamuzi yao kikabila?
Mwalimu akisema kwa msisitizo 1+1=11 kwa nini sisi tuseme 2Kwa hiyo Wanyaturu wanafanya maamuzi yao kikabila?
Mwigulu sio Mnyaturu ..Ni mnyiramba
Kama CCM haikuyumba alipoondoka Lowassa, basi ni hakika haitoyumbishwa na Nyalandu na haitayumba kamwe!Anaitwa Wilson Nkambaku, Kwa sasa ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya aliyepangiwa kazi mwaka huu. Alikua mkuu wa wilaya awamu ya nne katika wilaya za Meatu na Arumeru kabla ya kurithiwa na Alexander Mnyeti.
Kwanini anaondoka?
1.Ikumbukwe huyu kijana wa Kinyaturu ndiye aliyerithi mikoba ya Nyalandu kwenye kiti Urais wa UKWATA pale Iiboru Sekondari miaka ya nyuma baada ya kumaliza muda wake.
2. Exposure zake zote nje ya nchi ni sawa na za Mh Nyalandu, alifanikiwa haya yote kupitia kwa kaka yake huyu ambaye ameondoka CCM na kwenda CHADEMA.
3.Alishinda nafasi ya Ubunge kwenye kura za maoni CCM 2010 jimbo la Singida Magharibi, lakini akadhulumiwa kwa fitna na hongo za CCM,alihamia CHADEMA ili kufanikisha mipango yake ambapo aliaminiwa na wananchi wakaahidi kumchagua kwa kura zote lakini baadae aliyekua Rais wakati huo alitumia nguvu nyingi kwa kumtumia Mh Nyalandu kumshawishi asihamie CHADEMA ili jimbo la Singida Magharibi lisiende na maji,ailirudi CCM kwa kushawishiwa na Nyalandu na baadae kupewa ukuu wa Wilaya.
4.Ndiye rafiki mkubwa sana pengine kuliko hata marafiki wengine wa Nyalandu hapa nchini.
5.Hawezi kuiona future yake ya kisiasa kwenye hii CCM iliyojaa visasi iliwa kaka yake ameondoka CCM.
5. Ni kijana mwaminifu na mlokole asiyekua na doa hata kidogo, features zake ni sawa na za Nyalandu.
6. 2020 kijana wa Kinyiramba Elibariki Kingu ajiandae mapema tu kuachia jimbo la watu.Itakua ni Combination ya Tundulu LISSU+Nyalandu kumnadi Nkambaku.
Je,mnafikiri Nyalandu yuko peke yake?
Kuna mengina ndani ya kapu, Lakini kuna tetesi kua Mh Nyalandu ana Marafiki zake Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa sasa wa wilaya na mikoa wasiopungua 100 ambao ndio walikua wapambe zake kwenye kusaka sahihi za kukamilisha mipango ya kugombea Urais 2015 ambao watamfuata muda si mrefu.
CCM nawaasa kaeni mtulie tuu, msianze kuchafua watu wanapoonfoka chamani. Watafteni na hawa 100 kabla hawajaondoka.
CCM haikuyumba kuondoka kwa Lowasa, umesahau mabomu na magari ya washawasha yalivyoagizwa kwa fujo?Kama CCM haikuyumba alipoondoka Lowassa, basi ni hakika haitoyumbishwa na Nyalandu na haitayumba kamwe!
Khambaku ana msimamo huyo sidhani kama atafanya maamuzi ya pupa. Isitoshe hana kashfa za kutisha na CCM haijamkosea chochote zaidi imempa heshimakuna maamuzi tunafanya kwa mkumbo bila kufikiria, sio vibaya huyu mtu kuhama chama lakini natamani watu wafanye maamuzi kwa utashi wao na si shinikizo la kumfata fulani je angekuwa amekufa angemfuata kaburini?
acheni kijana wa watu aamue mwenyewe sio kumtengenezea mazingira ya kuchukiwa katika nafasi anayoitumikia sasa.