Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Ktk siasa hakuna rafiki wa kudumu wala rafiki wa kudumu, pia Lowasa alisema angekuja na wanachama lukuki tena wa ngazi mbali mbali kuanzia wakuu wa mikoa, mawaziri, wenyeviti wa mikoa/wilaya wa Ccm na makatibu mbalimbali lakini nilichoona ni patulo yaani hakuna zaidi ni wengine kurudi Ccm kama Balozi Mwapatu na wengineo kibao wasio na mikia
 
Kidogo mwandishi nafikiri umeongeza chuku sana kwenye habari yako.
Kama walokole wako kama Nyalandu basi niseme siujui vizuri ulokole.
Kama mheshimiwa Nyalandu ataondoka na hao makatibu 100 wa CCM atakua na nguvu kuliko Lowasa.
Siasa kwa wanasiasa ni ajira kwetu wananchi ni ghiliba na usumbufu.
Baada ya miezi 6 nitarudi kwaajili ya tathmini ya hili.
 
Aisee. Kama huyo kijana atarudi jimboni mi ntampa kura, he's so intelligent. Kingu Hana chake Na naiona Singida ikiwa Kama Arusha

Intelligent? Wewe hapo ndiye unayepima huo uinteligence? Duuh, haya tuambia wanyaturu wangapi ni ma intelligent?
 
Hivi lowassa alipohama CCM alisema anakuja na viongozi wangapi vile nikumbusheni.. Maana nina tatizo la kumbukumbu.
 
Mahanju wewe ni muongo wala huna hoja labda chadema wanakulipa unayemzungumzia ni kada safi wa ccm.nahawezi kukihama chama cha mapinduzi
 
Wewe ndo fala,, unafikri Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo gani? Lione yalivyolishuka! Eti Mohamed Missanga unaota ndoto za mchana?
 
Wewe ndo fala,, unafikri Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo gani? Lione yalivyolishuka! Eti Mohamed Missanga unaota ndoto za mchana?
We kima naongelea uchaguzi ambao nkhambaku aliisaliti chadema na ndo maana nikamtaja jakaya.hao mapimbi wako wa juzi endelea nao.
 
We kima naongelea uchaguzi ambao nkhambaku aliisaliti chadema na ndo maana nikamtaja jakaya.hao mapimbi wako wa juzi endelea nao.
Wewe ni taahira! Huna unachofahamu kumhusu Nkambaku. Huyu alitimkia CHADEMA wakati wa kura za maoni kwa ajili ya uchaguzi wa 2015 baada ya kuwabwaga wote akina Kingu na Missanga. Ndiposa juhudi kubwa zikafanyika kumrejesha CCM ili majiombo yote mawili yasije yakaenda CHADEMA, hapo ndo Nyalandu aliingilia kati kumshawishi na akazawadiwa ukuu wa wilaya mara tu baada ya kura za maoni! Nyoko!!
 
Endelea na mlo wako mmoja siku akili akikurudia utajua kuna breakfast,lunch na dinner.
 
halafu mnamwita muadilifu...mtu aliyepokea rushwa ya ml 500 na ukuu wa wilaya!hakika aliyeturoga watanzania kafa.
 
Ni Nkhambaku siyo Nkambaku
 
OK, unataka kusema Singida Magharibi,Singida Mashariki na Singida Kaskazini Kile chama ndiyo kitakuwa na wakati mgumu wa kupata kura? Vipi kuhusu majimbo ya Iramba na Majimbo ya Manyoni.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…