Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Hiyo sifa namba 5 niliamini anayo na angetafakari kabla ya kufanya maamuzi. Lakini uliposema anayo hiyo sifa kama Nyalandu nimeumbuka kwa sababu nimegundua kumbe ni usanii tu. Waulize CHADEMA waliokoa shilingi ngapi za Watanzania walipoibua madhambi ya Nyalandu kama waziri katika serikali yetu.
 
Aisee. Kama huyo kijana atarudi jimboni mi ntampa kura, he's so intelligent. Kingu Hana chake Na naiona Singida ikiwa Kama Arusha
Ila kuna ka mgawanyiko hapo.Mbona wale hawajaenda kumuona mwenzao hospitalini?
 
Vyovyote vile itakavyokuwa hata kama watahama milioni sita wenye akili tunajua hawahami kwa kuwa ni wazalendo wanahama kutafuta maslahi binasfsi na kamwe si kwa maslahi ya umma.
 
Aisee. Kama huyo kijana atarudi jimboni mi ntampa kura, he's so intelligent. Kingu Hana chake Na naiona Singida ikiwa Kama Arusha
Duu, maskini Dodoma ....mtajanjaruka lini muwe kama wa-Singida?
 
Mahanju wewe ni muongo wala huna hoja labda chadema wanakulipa unayemzungumzia ni kada safi wa ccm.nahawezi kukihama chama cha mapinduzi
Sasa unachobishia ni kitu gani wewe? Huyu kijana CCM wamemtesa sana kufanyia figisu figisu kura za maoni ya ubunge mara mbili, angekua anathaminiwa asingetolewa ukuu wa Wilaya. Huko ukatibu tu wa chama ni juhudi za kina Nyalandu. Hutaki achaa
 
Wewe inawezekana hata Nkambaku humjui unaropoka tuu, tuulize wazee wa wilaya hiyoo tulieshida nae. Kana kashindwa Njau aliyekua aki-cover projects zote ambazo LISSU hakufanya lakini hakuambulia chochote. Mtatura hawezi kitu na asije akajidanganya, Wanaikungi wote wanajua kua amewekwa pale kwa ajili ya LISSU, wmejiandaa kumuonyesha nini maana ya nguvu ya umma.

Khaa yaani mtaturu apambane na LISSU? Kwa level ipi? Wewe LISSU kwa Ikungi ni habari ya mjini.Mtaturu hakuna kitu hapo tena asijidanganye na kelele zake zisizo na madhara.

Mwanza usiifananishe na Ikungi bhana, Kura za makabila flani ziibeba CCM kwa sababu ya Mgombea urais. Wale Mabula wote walibebwa na Magufuli wala hakuna lingine usimtetee Mtaturu.

Khambaku Singida magharibi ameshinda mara mbili lakini CCM wanamfanyia fitna, ngoja ahamie chadema uone kama yule Mnyiramba atapata kitu.
 
Vijana kwenye siasa si wa kuwaamini.Wanapoona maslahi binafsi yana yameathirika,hawakawii kubadili mtizamo.Mpatie begi lililojaa minoti!!
 
Hapo No.5, unataka kumaanisha nini unaposema ni kijana mwaminifu, mpole, mlokole na wakati huohuo unasema tena features zake ni sawa na Nyaradu huyu anayetuhumiwa mpaka na tuhuma za UFUSKA au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…