Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

Intallejensia ya Ccm bado inasoma Error 232....
 
Aise huyo Nkambaku atapita haraka sana asubuhi mapeeema kabla ya jogoo kusema kokolikoooooooooooooo
 
Naona matukio yanajirudia in retrospective way, tatizo sisini wsahaulifu sana.

Hiki kisa ni kama alipohama mzee Lowassa kwenda CDM.
Ilisemekana atahama na mamia ya wanachama/wenyeviti wa CCM wa wilaya mbalimbali na mawaziri kadhaa.

Kilichotokea wakati ule ni kuwaona Kingunge, Mwapachu, Lembeli na wanasiasa wachache wasiokuwa na ushawishi mkubwa ktk siasa wakimfuata mzee Lowassa. Baada ya hapo tunajua akina nani wamejikuta wanajutia maamuzi yao.

Sidhani kama huyo Mkambaku ana akili kama za wale wazee waliomfuata mzee mwenzao EL.
 
Unasemaje wewe mbwiga, CCM haikuyumba kuondoka kwa Lowasa, umesahau mabomu na magari ya washawasha yalivyoagizwa kwa fujo, au ulikuwa bado tumboni kwa bimkubwa wako?
Hayo mabomu na washawasha yalianza kuingizwa na Lyatonga Mrema tangu 1990s wakati akiwa bado Waziri wa CCM. Tena heri 1995 Lyatonga alisumbua siyo Eddo aliyepigiwa kura na wana Moshi- Arusha tu!!
 
Maamuzi ya kikabila ni kwenye bomoabomoa pengine
Mkuu umewapa za uso hatari. Hawa sasa wajiandae kukutwa kwenye nyumba ya makumbusho watoto wetu wajifunzie historia tu.
 
Aisee. Kama huyo kijana atarudi jimboni mi ntampa kura, he's so intelligent. Kingu Hana chake Na naiona Singida ikiwa Kama Arusha
Hili hasa wakiliweza singida umaskini wote wa pale utahamia mtela dodoma
 
Umasikini wa sisi wanaSingida ni wakutengenezwa na hawa wanasiasa. Trust me. Ila kupitia haya mageuzi naiona Singida mpyaaa

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
Yaani kuna nguo mkishazizoea kuzivaa mjiandae kisaikolojia
Mimi maishani mwangu nguo ya kijani huwa sivai na nimeona uchumi wangu unakuwa sana soon baada ya kuanzia hilo zoezi
 
Anaitwa Wilson Nkambaku, Kwa sasa ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya aliyepangiwa kazi mwaka huu. Alikua mkuu wa wilaya awamu ya nne katika wilaya za Meatu na Arumeru kabla ya kurithiwa na Alexander Mnyeti.

Kwanini anaondoka?

1.Ikumbukwe huyu kijana wa Kinyaturu ndiye aliyerithi mikoba ya Nyalandu kwenye kiti Urais wa UKWATA pale Iiboru Sekondari miaka ya nyuma baada ya kumaliza muda wake.

2. Exposure zake zote nje ya nchi ni sawa na za Mh Nyalandu, alifanikiwa haya yote kupitia kwa kaka yake huyu ambaye ameondoka CCM na kwenda CHADEMA.

3.Alishinda nafasi ya Ubunge kwenye kura za maoni CCM 2010 jimbo la Singida Magharibi, lakini akadhulumiwa kwa fitna na hongo za CCM,alihamia CHADEMA ili kufanikisha mipango yake ambapo aliaminiwa na wananchi wakaahidi kumchagua kwa kura zote lakini baadae aliyekua Rais wakati huo alitumia nguvu nyingi kwa kumtumia Mh Nyalandu kumshawishi asihamie CHADEMA ili jimbo la Singida Magharibi lisiende na maji,ailirudi CCM kwa kushawishiwa na Nyalandu na baadae kupewa ukuu wa Wilaya.

4.Ndiye rafiki mkubwa sana pengine kuliko hata marafiki wengine wa Nyalandu hapa nchini.

5.Hawezi kuiona future yake ya kisiasa kwenye hii CCM iliyojaa visasi iliwa kaka yake ameondoka CCM.

5. Ni kijana mwaminifu na mlokole asiyekua na doa hata kidogo, features zake ni sawa na za Nyalandu.

6. 2020 kijana wa Kinyiramba Elibariki Kingu ajiandae mapema tu kuachia jimbo la watu.Itakua ni Combination ya Tundulu LISSU+Nyalandu kumnadi Nkambaku.


Je,mnafikiri Nyalandu yuko peke yake?
Kuna mengina ndani ya kapu, Lakini kuna tetesi kua Mh Nyalandu ana Marafiki zake Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa sasa wa wilaya na mikoa wasiopungua 100 ambao ndio walikua wapambe zake kwenye kusaka sahihi za kukamilisha mipango ya kugombea Urais 2015 ambao watamfuata muda si mrefu.

CCM nawaasa kaeni mtulie tuu, msianze kuchafua watu wanapoonfoka chamani. Watafteni na hawa 100 kabla hawajaondoka.
Ana impact gani au ndo wale WANASIASA TOGWA kama Nyalandu??
 
Naendelea kushangaa kwa sauti, hivi kijana una uwezo, akili na afya timamu unaendaje CCM?
 
Lowasa alikuja cdm na gad leo iko hivi ilivyo, no new vibration may bring unique impact.
Tusake maisha tutupe siasa pembeni
Siasa ndiyo maisha yenyewe mkuu.
Kwajuwa viongozu wa kisiasa ndo wanaopanga bajeti za maendeleo au kuirudisha nyuma jamii.Kwahiyo huwezi kutenganisha maisha na siasa.
 
All in all, tapeli Kingu has to go. Wanyampaa tumeamua
 
Naona matukio yanajirudia in retrospective way, tatizo sisini wsahaulifu sana.

Hiki kisa ni kama alipohama mzee Lowassa kwenda CDM.
Ilisemekana atahama na mamia ya wanachama/wenyeviti wa CCM wa wilaya mbalimbali na mawaziri kadhaa.

Kilichotokea wakati ule ni kuwaona Kingunge, Mwapachu, Lembeli na wanasiasa wachache wasiokuwa na ushawishi mkubwa ktk siasa wakimfuata mzee Lowassa. Baada ya hapo tunajua akina nani wamejikuta wanajutia maamuzi yao.

Sidhani kama huyo Mkambaku ana akili kama za wale wazee waliomfuata mzee mwenzao EL.

Sawa polepole
 
Yule mla fisi tulimsitiri halafu katuona machizi. All in all, tapeli Kingu has to go. Wanyampaa tumeamua
hatutaki ujinga tena aisee.Tumeamua na hatturudi nyuma.hawawezi kumshambulia kaka yetu na sisi tukae kimya
 
Nkambaku ni role model kwang akiwa Mkuu wa wilaya ya Arumeru. Alikuwa ni mtu wa watu and alifnya kazi na wote bila kujali itikadi.. Ni humble person na mwenye hekima sana maana nilikutana naye maeneo mengi sana alizindua mradi.. Namkunali sana na niishangaa aliyofanyiwa akiwa Arusha mpaka akaondoka kwenda huko kwingine.. Jamaa ni Jembe sana
CCM mnahangaika nini kupoteza muda kumkashifu Nyalandu siku zote mlikuwa wapi acheni unafiki!!!! wewe kibajaji huwezi kujifananisha na Nyalandu hata kwa theluthi nani asiyekujua wewe elimu huna hujasoma hata darasa moja wewe ni mzee wa mipasho utadhani mwimbaji wa rusha roho. yaani kuwa watu mabwege kweli mtu kama hana faida na nyinyi kinawauma nini sasa kaeni kimya.
 
Back
Top Bottom