Wilson Oruma amshukia Kocha Yanga Saed Ramovic aache unafiki na kuficha Makosa yake

Yes hiyo sio sababu ya msingi.

Yanga mwaka jana Katinga robo fainali kwa kumfunga CR Belouzdad goli 4-0.

Belouzdad ni timu kutoka Algeria Anaposema ligi yao ni ngumu na ina ushindani kuliko yetu.

Simba Juzi ameifunga Fc Constantine 2-0 na kuongoza kundi.

Fc Constantine ni timu kutoka Algeria anaposema ina ligi ngumu na yenye ushindani kuliko yetu.

Kwa mtu kama yeye kuokoteza visababu kama hivi haipendezi.

Alitakiwa aje na sababu za kiufundi za sisi yanga kushindwa kuifunga MC Alger ambayo naamini ni timu ya kawaida sana.

Sio kuja na sbabu za kufikirika kama hizi.
 
5imba iliyofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi goli 5 ilihongwa billions ngapi?
Tumia akili yako vizuri. Kocha wako anasema ligi nyepesi maana yake ataendelea kushindwa kwenye mechi za nje. Msimnunulie mechi kwenye ligi. Aone siyo mnacheza na singida Mwigulu anataka yanga ishinde huo ugumu atauonea wapi?. Baadaye ya Tano ulimfunga Tena Tano?. Si mlipata moja kwa mbinde na shindano juu kwa wachezaji. Acheni kumsaidia na masindano yenu.
 
Ni muongo uwezo wake wa kutambua uwezo wa wachezaji ni mdogo, Dube na Msonda mimi nawawekea alama ?
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…Ule mshuti wa mwamba wa Lusaka ukampalia pin πŸ“ŒπŸ“ na beki wenu chizi akaona akijitie
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…Ule mshuti wa mwamba wa Lusaka ukampalia pin πŸ“ŒπŸ“ na beki wenu chizi akaona akijitie
Angewaokoa Sasa kwa mc Alger au pale mashuti hayajua mguuni. Kocha wenu kashasema ligi ya mabingwa imewazidi umri mtulie sasa
 
Reactions: Tui
Mc Alger ni ipo CAFCL ambayo timu lako la mambumbumbu haliwezi kushiriki, lipo huko umamani
Pole sana fikia rekodi yangu Miaka minne mfululuzo robo fainal champion ligi. na kwa taharifa yako sijawahi kutolewa makundi Kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…