Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Waliweza kupoteza muda, kuzima mashambulizi golikipa alikuwa mahili sana wao walikuwa wanaitaka sare tu, na walifanikiwa Msonda kwa maoni yangu Hana uwezo mkubwa hata DubeHakika walituzidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliweza kupoteza muda, kuzima mashambulizi golikipa alikuwa mahili sana wao walikuwa wanaitaka sare tu, na walifanikiwa Msonda kwa maoni yangu Hana uwezo mkubwa hata DubeHakika walituzidi
Anawapenda Dube na MsondaYanga walileta kocha wa kufananao akili
Dube sio Yanga type.Ni muongo uwezo wake wa kutambua uwezo wa wachezaji ni mdogo, Dube na Msonda mimi nawawekea alama ?
Hakika naona Musonda Yanga imemshinda, japo najua ni bonge la mchezaji, ila Sasa ni wakati wa kumpa mkono wa kwaheriWaliweza kupoteza muda, kuzima mashambulizi golikipa alikuwa mahili sana wao walikuwa wanaitaka sare tu, na walifanikiwa Msonda kwa maoni yangu Hana uwezo mkubwa hata Dube
Muulize Cham, Inonga na Manula5imba iliyofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi goli 5 ilihongwa billions ngapi?
Msonda apewe .mkono wa kwaheriHakika naona Musonda Yanga imemshinda, japo najua ni bonge la mchezaji, ila Sasa ni wakati wa kumpa mkono wa kwaheri
Dube ni mchezaji mzuri, ana mikimbio tatizo lake ana pressure nadhani akae na washauri wamuweke sawa tu
Ila tukubali mwaka huu haikuwa ridhiki yetu
Ndo walikuwa makocha sio RobertinhoMuulize Cham, Inonga na Manula
Huyo habadilikiMsonda apewe .mkono wa kwaheri
Ameshindwa kabisaMsonda apewe .mkono wa kwaheri
Miaka niliyocheza mfululizo ulikua unacheza wewe kumbeHuna uweZo wa kucheza CAFCL
Wewe utacheza hayo mashindano yenu ya akina mama
Maduka yote ya Simba mmeyaweka kwenu Sasa Bado Manula tu.Wanaidhamini na 5imba iliyofungwa mara nne mfululizo?
Hatuwafungi 5 mnataka kufungwa ngapi?Maduka yote ya Simba mmeyaweka kwenu Sasa Bado Manula tu.
Hizo 5 mtamfunga nani tena?
Mlifunga Simba Kwa msaada wa maduka yenu akina inonga ,baleke,chama, ManulaHatuwafungi 5 mnataka kufungwa ngapi?
Duka letu Kijili na pin 📌📍 Bado wapo😅🤣Mlifunga Simba Kwa msaada wa maduka yenu akina inonga ,baleke,chama, Manula
Pin 📌📍 Juzi kahongwa bei gani?
Sometimes yes and sometimes noDube sio Yanga type.
Jina lake kubwa kuliko uwezo wake.
Yanga tukubali hatuna striker wa kueleweka tangu mayele aondoke.
Musonda ni wale wale maji kupwa maji kujaa.