Wilson Oruma amshukia Kocha Yanga Saed Ramovic aache unafiki na kuficha Makosa yake

Yeah huyu sio wa kumtegemea.

Yanga tungeachana nae tu.
Huko South Africa wanamuita Plumber yaani kwa lugha ya mitaani huko Bondeni ni kanjanja, mpiga kelele.
 
Al Hilal anacheza ligi ya Mauritania ambayo haina ushindani kuzidi ligi yetu lakina ndo kaongoza kundi lakina Yanga.
So hapo kocha wa utopolo angetafuta kisingizio kingine.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…