Two different scenarios....Watu wengi hawajui maana ya uwekezaji ndio maana wakati diamond anamdai harmonize billion moja wabongo wengi walilalamika ila investing is risky hata GSM ndio haya ya kina mzee magoma.
Tanzania ni nchi ya yenye uhuru uliopotiliza. Watu wanaleta uzushi na kila mtu anaamini na kutukana bila ushahidi wowote. Hata chizi anaweza kusema kitu cha kipumbavu na watu wakaamini."Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports
Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili Babu Kubwa nayo anataka irekodiwe na itambulike Kama Deni anawadai Simba Simba Sports.
Taarifa hii imetumwa Kwa wajumbe wote wa Bodi, Kama hamjatambua hela ninayotoa Kama Deni hakuna Pesa ya Usajili itatoka.
Na Kwa Mujibu wa taarifa shida haipo Kwa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Kwenye Kutambua haya Madeni.
Shida inaonekana Kwa tajiri yeye Kutaka atumie hela tu halafu Klabu iidhinishe Kama Deni bila ya Kufanyika Ukaguzi.Hapa ndo Kuna Mechi.
Kwa Mfano tajiri anasema ametumia Bil 8 Kwenye Usajili msimu uliopita kwa wachezaji 17 wapya.
Baadhi ya Wajumbe wanataka Kuonyeshwa tulifikaje hapa Kwenye hizi Bil 8 Kwa Usajili wa Kina Omary Omary, Jean Charles Ahoua na wengine?
Taarifa zinasema Pamoja na Kuwepo na Kamati ya Ukaguzi ya ndani Simba Sports wameleta Mkaguzi Mwingine wa nje lakini inasemwa bado tajiri hajaonyesha ushirikiano.
Wingu zito bado limetanda Simba Sports, na hii itakuwa Disappointment Kubwa Kwa Fadlu Davids.
Na Kwa binafsi Yangu naona Kama Simba Sports ikijipanga vizuri sasa hivi wana uwezo wa Kusajili bila MO
Tatizo lipo Kwa hii short notes inawezekanaje? Kuna Sajili nyingi Simba wameshindwa Kuzikamilisha Kwa wakati Kwasababau ya hizi Sintofahamu zinazoendelea.
Tajiri huku nje anasema usajili mkubwa unaenda Kufanyika lakini Kumbe ndani bado una masharti kibao."
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Aliulizwa account aliyoweka zile bil 20, akataka kurusha ngumiMo utajiri wake ni billioni ngapi mpaka aipe Simba billion 67 nauliza tu!!!
kapuku kama huyo oruma ndio anaweza kuhoji mchango wa mo simba?"Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports
Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili Babu Kubwa nayo anataka irekodiwe na itambulike Kama Deni anawadai Simba Simba Sports.
Taarifa hii imetumwa Kwa wajumbe wote wa Bodi, Kama hamjatambua hela ninayotoa Kama Deni hakuna Pesa ya Usajili itatoka.
Na Kwa Mujibu wa taarifa shida haipo Kwa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Kwenye Kutambua haya Madeni.
Shida inaonekana Kwa tajiri yeye Kutaka atumie hela tu halafu Klabu iidhinishe Kama Deni bila ya Kufanyika Ukaguzi.Hapa ndo Kuna Mechi.
Kwa Mfano tajiri anasema ametumia Bil 8 Kwenye Usajili msimu uliopita kwa wachezaji 17 wapya.
Baadhi ya Wajumbe wanataka Kuonyeshwa tulifikaje hapa Kwenye hizi Bil 8 Kwa Usajili wa Kina Omary Omary, Jean Charles Ahoua na wengine?
Taarifa zinasema Pamoja na Kuwepo na Kamati ya Ukaguzi ya ndani Simba Sports wameleta Mkaguzi Mwingine wa nje lakini inasemwa bado tajiri hajaonyesha ushirikiano.
Wingu zito bado limetanda Simba Sports, na hii itakuwa Disappointment Kubwa Kwa Fadlu Davids.
Na Kwa binafsi Yangu naona Kama Simba Sports ikijipanga vizuri sasa hivi wana uwezo wa Kusajili bila MO
Tatizo lipo Kwa hii short notes inawezekanaje? Kuna Sajili nyingi Simba wameshindwa Kuzikamilisha Kwa wakati Kwasababau ya hizi Sintofahamu zinazoendelea.
Tajiri huku nje anasema usajili mkubwa unaenda Kufanyika lakini Kumbe ndani bado una masharti kibao."
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Usijadili kitu bila kujua hiyo habari ni authentic au la. Oruma kasema hivyo wapi? Au kila kitu mnacholetewa mnameza tu?Two different scenarios....
Mo alitoa 20B kupata 49% ya SSC ambayo Bado anaimiliki, hizo 67B alitoa Kwa condition gani? Mkopo ah investments? Na Kwa mantiki hio Ina maana ndani ya miaka Saba Mo atakua hajawahi kupata hata a single coin kutoka Kwa Simba? Na matangazo yake yote pamoja na kanga alizotengeneza Kwa kutumia Simba kama brand anawalipa cash.....
Simba Bado asilimia 51 ni timu ya wananchi, na wananchi Wana watu wao kwenye bodi ambao wanawajibikia Kwa wanachama wa SSC sio Kwa mo, hizo pesa anatoa Kwa transparency gani? Kama wanapeana pesa uchororoni ndo itakula kwake..... Mo kashawapiga Sana Simba, Simba Leo hii si ya miaka Saba nyuma iliyopita, Ina maana Leo Simba ikisema iuze hisa zake mo hatopata faida? Simba hii ambayo kina jay rutty wanaweka b33 Kwa misimu miwili???
Swali tu wanalotakiwa kumuulizaMo Hana tofauti na manara
Mjadala wangu hauna uhusiano na huyo Oruma(wtf is he kwanza?)Usijadili kitu bila kujua hiyo habari ni authentic au la. Oruma kasema hivyo wapi? Au kila kitu mnacholetewa mnameza tu?
Ifikie mahali aachie timu,Swali tu wanalotakiwa kumuuliza
Ina maana Leo hii hizo hisa 49% Bado Zina thamani ya 20B?
Ukipewa wewe utawekeza ? Au unachonga tu hapa?,🤣🤣🤣Ifikie mahali aachie timu,
Sio mwekezaji pekee pale simba
Shida unaongea kishabiki siku yakija ya GSM ndio utaona kuwekeza sio rahisi kiasi hicho tena kule ndio kumeoza kabisa sisi yetu macho wewe uliyekunywa maji ya bendera endelea kukaza shingo.Two different scenarios....
Mo alitoa 20B kupata 49% ya SSC ambayo Bado anaimiliki, hizo 67B alitoa Kwa condition gani? Mkopo ah investments? Na Kwa mantiki hio Ina maana ndani ya miaka Saba Mo atakua hajawahi kupata hata a single coin kutoka Kwa Simba? Na matangazo yake yote pamoja na kanga alizotengeneza Kwa kutumia Simba kama brand anawalipa cash.....
Simba Bado asilimia 51 ni timu ya wananchi, na wananchi Wana watu wao kwenye bodi ambao wanawajibikia Kwa wanachama wa SSC sio Kwa mo, hizo pesa anatoa Kwa transparency gani? Kama wanapeana pesa uchororoni ndo itakula kwake..... Mo kashawapiga Sana Simba, Simba Leo hii si ya miaka Saba nyuma iliyopita, Ina maana Leo Simba ikisema iuze hisa zake mo hatopata faida? Simba hii ambayo kina jay rutty wanaweka b33 Kwa misimu miwili???
Ukipewa wewe utawekeza ? Au unachonga tu hapa?,🤣🤣🤣
"Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.