Ndio akasema anadai bl. 67?? Uwe unatabia ya kusikiliza vizuri alisema amechangia bl. 45 na pia ameongeza bl. 22 nje ya mifumo rasmi. Unapohoji uhalali wa hizo fedha kana kwamba huwa malipo hayapitii njia rasmi kama banki. Tatizo letu ni kukurupuka, na kulichukua kila jambo kwa hasi na kupenda nongwa.Mjadala wangu hauna uhusiano na huyo Oruma(wtf is he kwanza?)
Mjadala wangu umelenga hoja Mo alizoleta juzi, na hoja kubwa ni kwamba sawa katumia 87B siwezi kukataa, yeye kapata ngapi na mpaka Sasa thamani ya hisa 49% ni ngapi?
Mchambuzi wa wapi??"Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports
Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili Babu Kubwa nayo anataka irekodiwe na itambulike Kama Deni anawadai Simba Simba Sports.
Taarifa hii imetumwa Kwa wajumbe wote wa Bodi, Kama hamjatambua hela ninayotoa Kama Deni hakuna Pesa ya Usajili itatoka.
Na Kwa Mujibu wa taarifa shida haipo Kwa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Kwenye Kutambua haya Madeni.
Shida inaonekana Kwa tajiri yeye Kutaka atumie hela tu halafu Klabu iidhinishe Kama Deni bila ya Kufanyika Ukaguzi.Hapa ndo Kuna Mechi.
Kwa Mfano tajiri anasema ametumia Bil 8 Kwenye Usajili msimu uliopita kwa wachezaji 17 wapya.
Baadhi ya Wajumbe wanataka Kuonyeshwa tulifikaje hapa Kwenye hizi Bil 8 Kwa Usajili wa Kina Omary Omary, Jean Charles Ahoua na wengine?
Taarifa zinasema Pamoja na Kuwepo na Kamati ya Ukaguzi ya ndani Simba Sports wameleta Mkaguzi Mwingine wa nje lakini inasemwa bado tajiri hajaonyesha ushirikiano.
Wingu zito bado limetanda Simba Sports, na hii itakuwa Disappointment Kubwa Kwa Fadlu Davids.
Na Kwa binafsi Yangu naona Kama Simba Sports ikijipanga vizuri sasa hivi wana uwezo wa Kusajili bila MO
Tatizo lipo Kwa hii short notes inawezekanaje? Kuna Sajili nyingi Simba wameshindwa Kuzikamilisha Kwa wakati Kwasababau ya hizi Sintofahamu zinazoendelea.
Tajiri huku nje anasema usajili mkubwa unaenda Kufanyika lakini Kumbe ndani bado una masharti kibao."
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Kwa Uhasibu wa kihindi kila kilichosndikwa hapo kinawezekana na kina tally vizuri tu."Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports
Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili Babu Kubwa nayo anataka irekodiwe na itambulike Kama Deni anawadai Simba Simba Sports.
Taarifa hii imetumwa Kwa wajumbe wote wa Bodi, Kama hamjatambua hela ninayotoa Kama Deni hakuna Pesa ya Usajili itatoka.
Na Kwa Mujibu wa taarifa shida haipo Kwa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Kwenye Kutambua haya Madeni.
Shida inaonekana Kwa tajiri yeye Kutaka atumie hela tu halafu Klabu iidhinishe Kama Deni bila ya Kufanyika Ukaguzi.Hapa ndo Kuna Mechi.
Kwa Mfano tajiri anasema ametumia Bil 8 Kwenye Usajili msimu uliopita kwa wachezaji 17 wapya.
Baadhi ya Wajumbe wanataka Kuonyeshwa tulifikaje hapa Kwenye hizi Bil 8 Kwa Usajili wa Kina Omary Omary, Jean Charles Ahoua na wengine?
Taarifa zinasema Pamoja na Kuwepo na Kamati ya Ukaguzi ya ndani Simba Sports wameleta Mkaguzi Mwingine wa nje lakini inasemwa bado tajiri hajaonyesha ushirikiano.
Wingu zito bado limetanda Simba Sports, na hii itakuwa Disappointment Kubwa Kwa Fadlu Davids.
Na Kwa binafsi Yangu naona Kama Simba Sports ikijipanga vizuri sasa hivi wana uwezo wa Kusajili bila MO
Tatizo lipo Kwa hii short notes inawezekanaje? Kuna Sajili nyingi Simba wameshindwa Kuzikamilisha Kwa wakati Kwasababau ya hizi Sintofahamu zinazoendelea.
Tajiri huku nje anasema usajili mkubwa unaenda Kufanyika lakini Kumbe ndani bado una masharti kibao."
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Uzuri wa GSM kuna taarifa za kweli zinapatikana.Watu wengi hawajui maana ya uwekezaji ndio maana wakati diamond anamdai harmonize billion moja wabongo wengi walilalamika ila investing is risky hata GSM ndio haya ya kina mzee magoma.
Investor gani ambaye anakubali kuinvest sehemu amabayo ana risk mtajibwake kila mwaka?, yaani yeye hakuna any return kwenye kuinvest kwake zaidi ya hasara!. Takataka kabisaWatu wengi hawajui maana ya uwekezaji ndio maana wakati diamond anamdai harmonize billion moja wabongo wengi walilalamika ila investing is risky hata GSM ndio haya ya kina mzee magoma.
Pigia simu wajumbe wa Bodi upewe ukweli.kapuku kama huyo oruma ndio anaweza kuhoji mchango wa mo simba?
Kwahiyo yeye kila mwaka hapati faida kabisa?, amewahi kusema matangazo yake kwenye jezi za simba anapata faida kias gani?, kama mdhamini mkuu anatoa 4B kila mwaka na ana tangazo moja vipi yeye ana matanagzo mangapi?, anatumia page na social media za simba kujitangazia biashara zake anamlipa nani?. Simba wapige hesabu ya kila tangazo lake wampe hesabu then watoe anachotakiwa kulipa na akate kwenye deni lake... Waachane na tajiri kichaaHivi watu walitegemea nini zaidi ya hicho?
Kwamba wao wapokee tu pesa ila kudaiwa hawataki?
Rafiki mtani Kalpana fanyeni Jambo kurudisha timu mikononi mwenu.Kwani Yule Amber Rutty sijui J-Rutty yuko wapi?
Aje atimize ahadi yake ya usajili Sasa.
Naona Simba wameshikwa mateka na samjo bin kanjubhai.
GENTAMYCINE fanyeni jambo mrudishe timu mikononi mwenu.Kwani Yule Amber Rutty sijui J-Rutty yuko wapi?
Aje atimize ahadi yake ya usajili Sasa.
Naona Simba wameshikwa mateka na samjo bin kanjubhai.
Hata mimi habari hizi nazipenda sana. Nchi ya kitapeli inaendeshwa kitapeli tapeli tu.Sisi km wananchi hizi ndo habari tunapenda kusikia