Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

Mjadala wangu hauna uhusiano na huyo Oruma(wtf is he kwanza?)


Mjadala wangu umelenga hoja Mo alizoleta juzi, na hoja kubwa ni kwamba sawa katumia 87B siwezi kukataa, yeye kapata ngapi na mpaka Sasa thamani ya hisa 49% ni ngapi?
Ndio akasema anadai bl. 67?? Uwe unatabia ya kusikiliza vizuri alisema amechangia bl. 45 na pia ameongeza bl. 22 nje ya mifumo rasmi. Unapohoji uhalali wa hizo fedha kana kwamba huwa malipo hayapitii njia rasmi kama banki. Tatizo letu ni kukurupuka, na kulichukua kila jambo kwa hasi na kupenda nongwa.
 
Mchambuzi wa wapi??
 
mwanamke hata umhonge nyumba, gari , iphone 16 na mipesa lukuki, 😂, siku utakayoleta barua ya posa,, MAHALI YETU IKO PALEPALE,, Mo asilete janja janja
Atakosa mke,, unadhani GSM akileta barua ya posa tutakataa 🤣,, sisi ni wazazi tunataka mwanetu anenepe hadi apasuke
 
Kwa Uhasibu wa kihindi kila kilichosndikwa hapo kinawezekana na kina tally vizuri tu.
 
Kuna wakati haya mambo tunayataka wenyewe timu Ina mashabiki na wanachama Wa kutosha na bado Ina uwezo wa kuongeza wanachama na wakalipa ada zao Kila mwaka ni Kwa Nini tusiwekeze kwenye rasilimali watu tulizo nazo kuliko kumtegemea mtu mmoja ndio afanye Kila kitu? Mi naombea asuse kusajili Ili akili za Hawa viongozi na wanachama zianze kufanya kazi vizuri
 
Naiona Simba ikiwa imara sana na timu tishio barani Africa... ila hayo yote yatatokea baada ya anguko kubwa.. kupitia anguko hilo ndio itazaliwa Simba imara sana.
 
Watu wengi hawajui maana ya uwekezaji ndio maana wakati diamond anamdai harmonize billion moja wabongo wengi walilalamika ila investing is risky hata GSM ndio haya ya kina mzee magoma.
Uzuri wa GSM kuna taarifa za kweli zinapatikana.

Akitoa bonus ya wachezaji kwa furaha yake, HADAI.

Timu kama haina pesa kwa wakati husika, wakamuomba kwa dharula anatoa then anarudishiwa.

Matangazo yake yote kwenye jezi yanajulikana bei anayolipa timu.

Haya yote Simba hayako wazi.
 
Simba ni wapumbavu tu.... Huko kwenye Bodi huwa hawamuulizi maswali kuwa hayo matangazo kwenye jezi za simba ya kiume,simba queen na simba ya vijana huwa anatoa kiasi gani kila mwaka?.
Kama mdhamini mkuu M bet alikuwa anatoa 4B kila mwaka na ana tangazo moja tu kwenye jezi, vipi yeye aliyejaza makolokolo kila kona ya jezi zote zinazotumiwa na simba?.
Mo ana zaidi ya matangazo 4 kila jezi inayotumiwa na simba, bado anafanyiwa matangazo ya biashara na wachezaji wa simba,kila kukicha wachezaji wanabebeshwa visado vya sabuni😂😃.... Ifike wakati simba acheni kuwa wajinaga.... Vipi kuhusu pesa za CAF?.
 
Hivi watu walitegemea nini zaidi ya hicho?
Kwamba wao wapokee tu pesa ila kudaiwa hawataki?
 
Watu wengi hawajui maana ya uwekezaji ndio maana wakati diamond anamdai harmonize billion moja wabongo wengi walilalamika ila investing is risky hata GSM ndio haya ya kina mzee magoma.
Investor gani ambaye anakubali kuinvest sehemu amabayo ana risk mtajibwake kila mwaka?, yaani yeye hakuna any return kwenye kuinvest kwake zaidi ya hasara!. Takataka kabisa
 
Hivi watu walitegemea nini zaidi ya hicho?
Kwamba wao wapokee tu pesa ila kudaiwa hawataki?
Kwahiyo yeye kila mwaka hapati faida kabisa?, amewahi kusema matangazo yake kwenye jezi za simba anapata faida kias gani?, kama mdhamini mkuu anatoa 4B kila mwaka na ana tangazo moja vipi yeye ana matanagzo mangapi?, anatumia page na social media za simba kujitangazia biashara zake anamlipa nani?. Simba wapige hesabu ya kila tangazo lake wampe hesabu then watoe anachotakiwa kulipa na akate kwenye deni lake... Waachane na tajiri kichaa
 
Wananchi wanabeba matofari na kupeleka Jangwani mnatuseeerma....!

Mwaka huu hakuna pesa ya Utajiri, Mo kawashika pabaya, ..... Na tunakwenda kuanza kuwafunga 7-0 to 10-0....!

Simba inakwenda kupigwa Mnada miaka SI mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…