Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

Matatizo ya Simba SC yatatatuliwa na wanasimba wenyewe hasa itakapofika 'the point of no return'
 
tajiri maza faka kabisa,kweli bora muha kuliko kuchi kuchi hotahe
 
Simba haindeshwi kisomji somji ( kaduguda, 2000s) bwana kaduguda upo?
 
Namuunga mkono upande wetu mashabiki mbona hatutoi chochote? Yaani mtu atumie bilions of money in vain yaani upande wa wanachama kazi kulaumu Mo hivi mo vile ila hela yake wanaitaka wakitoka hapo wanasema hajafanya lolote
Hata mimi nisingekubali hadi hawa wa hisa 51 nao walipe fedha kiwango walau sawa na cha kwangu
 
Nami nakubaliana nae hizo bilioni 67 sijui 87 zisajiliwe na Simba wazilipe au wadaiwe.
 
wanasimba inabidi tujitathmini haiwezekani upate fedha za masimango ya kiwango hiki!!!!
 
Huyu mo hawajamuamulia tu ,simba na yanga ni mboni ya serikali .
Siku akitaka kuleta sintofahamu atapokonywa hizo hisa na hatakua cha kufanya maana vilio vikizid had kuleta viashiria vya uvunjifu wa aman ajiandae kuachia simba kwa kupenda au kutopenda .
Kanga inamhusu huyu mhindi mhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…