Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc.
Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali zimeamuru Benki zikate hayo malipo kutoka kwenye vyanzo vyenu mfano account zenu za Benki. Deni halifi wala kusahaulika, kama umenunua gari mkononi hakikisha unamulika madeni ya Tarura na makosa ya traffic barabarani.
Usije ukalia hawakati nusu nusu wanakata deni lote lote.
Usije ukapata taharuki kuna hilo wimbi lipo, kuna mashirikiano ya kitaasisi yapo kimya kimya kati ya Tarura, police, tra , na benki zetu, baadae watakuja hadi Kwa waajiri wenu au wataangalia lesseni zenu za biashara.
Synchronization kupitia National ID, Voters ID, Passport, Kadi ya Gari na Taarifa za kibenki.
Kwa nyongeza: Viporo ya madeni ya luku au bill za umeme kwenye Nyumba za kupanga na mlizinunua au mlizo rithi.
Wengine ongeza mengine, tujiongeze.
Serikali ni Mafia haisahau kitu na haishindwi kitu.
Tujenge nchi na uchumi wake Kwa uwazi.
Tozo Kwa msingi wa maendeleo.