WIMBI LA MAKATO YASIYOELEWEKA BENKI: Je, benki zimepewa mamlaka ya kukata fine za trafiki, deni, tozo ya luku na malipo ya maegesho kwa TARURA?

WIMBI LA MAKATO YASIYOELEWEKA BENKI: Je, benki zimepewa mamlaka ya kukata fine za trafiki, deni, tozo ya luku na malipo ya maegesho kwa TARURA?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc.

Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali zimeamuru Benki zikate hayo malipo kutoka kwenye vyanzo vyenu mfano account zenu za Benki. Deni halifi wala kusahaulika, kama umenunua gari mkononi hakikisha unamulika madeni ya Tarura na makosa ya traffic barabarani.

Usije ukalia hawakati nusu nusu wanakata deni lote lote.

Usije ukapata taharuki kuna hilo wimbi lipo, kuna mashirikiano ya kitaasisi yapo kimya kimya kati ya Tarura, police, tra , na benki zetu, baadae watakuja hadi Kwa waajiri wenu au wataangalia lesseni zenu za biashara.

Synchronization kupitia National ID, Voters ID, Passport, Kadi ya Gari na Taarifa za kibenki.

Kwa nyongeza: Viporo ya madeni ya luku au bill za umeme kwenye Nyumba za kupanga na mlizinunua au mlizo rithi.

Wengine ongeza mengine, tujiongeze.

Serikali ni Mafia haisahau kitu na haishindwi kitu.

Tujenge nchi na uchumi wake Kwa uwazi.

Tozo Kwa msingi wa maendeleo.
 
Wangekuwa wanakata kwa kila transaction kutupunguzia maumivu. Siyo kuweka madeni, haivumiliki hii kitu.
Madeni msiojua ya Luku hasa Tozo ya Luku wanaanza toka siku umefungiwa meter hawaangalii umehamia lini au imeanza kutumia lini, unaongezwa kama mteja toka Luku imewekwa
 
Safi sana maana mmezidisha vurugu barabarani tena hii waanze kuwakata bodaboda kwenye miamala yao ya m pesa
Bodaboda speed haiwahusu na parking pia, japo kwenye Luku wanakukata the next transaction ya malipo ya Luku yenyewe
 
Nyingine viporo vya Luku Kodi ya kiwanja na nyumba, wanasoma deni kwanzia tarehe uliowekewa Meter ya Luku, hawajui umehamia lini na matumizi imeanza lini.
Serikali katili huwa haitoi taarifa wala maelekezo. Wanakusubiri kona wanakukaba usije ukafa na deni lao
 
Ngoja wengine wachukue nchi haya yote yatakuwa history.

Nchi inahitaji a total overhaul hii.
 
Back
Top Bottom