Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BoraNgoja nikatafute manati yangu ya mzungu...nikikuhisi ni jambazi nakumaliza
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.
Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaosababisha madhara ya kiusalama. Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi.
Nasikia dar wanaichek yote sasa sijui hzo cctv wanazitumia kuangalia wadada wanaova vimini na kutetemesha makalio?Mkuu wa wilaya za ilala , temeke na kinondoni WATEULIWE kutoka JWTZ. Na wakati huo huo, wilaya za kipolisi za ilala, temeke na kinondoni zifutwe.pia ufungaji wa CCTV camera jiji la Dsm uzingatiwe.
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.
Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaosababisha madhara ya kiusalama. Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi.
Basi mwendazake ndio alikuwa anatulinda na hayupo sasa jilinde.
Nawaombeni MAJAMBAZI muache tabia hiyo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi InaendeleaMbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.