Wimbi la Ujambazi: Waziri Mkuu asema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kwenye ulinzi

Tunashiriki vipi kwenye ulinzi na mikono mitupu, nchi hii kumiliki silaha ndogo kama pistol ni kama kumiliki madawa ya kulevya, yaani mlolongo mrefu wa kutafuta vibali hadi kwa mwenyekiti wa kitongoji, mwisho wa siku mtaa mzima wanajua unamiliki silaha, tayari unakuwa kwenye hatari ya kuwindwa....kwa nini sehemu ya kusajili isiwe sehemu moja, mfano polisi wilaya.
 
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.

Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaosababisha madhara ya kiusalama. Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi.

Kipindi cha JPM mbona haya mambo ni kama yaliisha kabisa tatizo nini apa.................
 
Democrasia ina gharama zake

Marekani pamoja na kuwa wazuri kiusalama

Lakini ujambazi unawasumbua sana.
 
Mkuu wa wilaya za ilala , temeke na kinondoni WATEULIWE kutoka JWTZ. Na wakati huo huo, wilaya za kipolisi za ilala, temeke na kinondoni zifutwe.pia ufungaji wa CCTV camera jiji la Dsm uzingatiwe.
Nasikia dar wanaichek yote sasa sijui hzo cctv wanazitumia kuangalia wadada wanaova vimini na kutetemesha makalio?
 
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.

Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaosababisha madhara ya kiusalama. Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi.

Na pia ni jukumuu letu kugawana Mapato ya nchi katika mazingira ya haki , sio mwingine anapewa nafuu ya biashara mwingine hapewi
 
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.

Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaosababisha madhara ya kiusalama. Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi.

Nawaombeni MAJAMBAZI muache tabia hiyo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi Inaendelea
 
Back
Top Bottom