ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
kuna jamaa aliletaga hii mada humu wadau wakamsimanga leo ndio naelewa kumbe kweli bhanaWanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jamaa aliletaga hii mada humu wadau wakamsimanga leo ndio naelewa kumbe kweli bhanaWanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
Kumbe wakisema vijana wa taifa hili, mabinti ni excluded?? Huu nao ubunifu kama wa kutumia liquid kwa njia ya haja kubwa, you go against gravitational force pombe inaanzia chini kwenda juu.Mimi naona ni vijana wamesemwa hapa ila mabinti hawajasemwa kabisa.
Sasa kazi kwenu mabinti kuwakagua vijana wenu marinda .mtafanyae ili mkague hayo marinda?., mtajua wenyewe maana wanaumehatutaki kushikwa mali ya serikali
Kaa nao makin sanaHahahaaa. Nimecheka sana. Kumbe ndo mana baadhi ya vijana unawakuta asubuhi-asubuhi mapema tuu, wamelala unashangaa inakuwaje mtu mzima tena kijana damu mbichi analala hivi asubuhi kana kwamba anaumwa au ameridhika na hali yake hana shida. Kumbe anasikilizia dozi ikae sawa sawa?
Hahaha hii ni biology ya level zote, haibadiriki hata ukifanya PhD.Kwa biology ndogo ya O level. Rectum sijui colon inanyonya maji toka kwenye mabaki ya chakula(Mavi) na kuyaingiza mwili na ndio maana kama utakaa na choo muda mrefu huku kikiwa kinakubana. Utapata constipation kwani choo kinakuwa kigumu.
Kumbuka huu ni ulevi hata wanawake hutumia, na wote hupata madhara aliyoeleza hapao juu.Kha! Hawa wanywaji pombe hawa! Sina hamu nao aisee. Ni pasua kichwa.
Halafu baadaye wanalia wanataka Hospitali na Jamii wawaonee huruma.
Nina wasi wasi kwamba wanafanya hivyo kwa kujidanganya eti ini halipati madhara ilhali kitu chochote kitakachoingia ktk mzunguko wa damu ni lazima kitapitishwa kwenye ini ili "Kihakikiwe" na ndipo "kinaruhusiwa" kuendelea katika mfumo (systems)wa mwili.
Hofu yangu kubwa zaidi ni kwamba viungo vya uzazi esp. vya wanaume (urogenital organs) vipo karibu mno na sehemu hiyo wanamomiminia hiyo pombe yao. Je, viungo hivyo vitakuwa salama kweli?
- Tusishangae hapo baadaye kusikia ongezeko kubwa la wenye kulia-lia shida ya Kuvimba kwa Tezi dume(BPH), Saratani ya tezi dume (Prostate Cancer), shida ya uzazi kwa wanaume (Infertility and ED), shida ya kibofu cha mkojo(uwepo wa mawe au kansa ya kibofu), shida ya mbegu mfu (Necrozoospermia)kwa wanaume, Ongezeko la Saratani ya utumbo mpana ijulikanayo kama Colorectal Cancer na madhila mengineyo mengi ya kiafya vikiwemo shida za moyo na figo.
Siyo kweli, kuna ushahidi hapo juu unaonyesha Mayan walifanya ulevi huo upo siku nyingi ni ancient.Ilianzia Kenya
Kuna watu humu watajaribu, just to see if all that is true.!Enemas allow alcohol to bypass the liver and stomach, letting the body absorb it into the bloodstream and through the colon’s lining without the body breaking it down.
This can lead to a higher blood alcohol concentration, increasing the risk of alcohol poisoning and central nervous system depression.
According to a 2019 articleTrusted Source, alcohol enemas may pose the following additional risks:
gastrointestinal bleeding
edema, swelling due to trapped fluid
ulcers in the intestinal tract
colon erosion
Hata kama hajaelewa yanatosha anaweza jisomea baadaye.Ok Ngoja Nimsaidie Kuelezea Kidogo kwa Kirefu kuhusu hiyo Process.. (Digestion yote ili unielewe zaidi)
Kwanza unapokula Chakula chochote Mmeng'enyo wake Huanzia Mdomoni ambao huwa mechanical Reaction (Kutafuna yaani Mastication) na Chemical Reaction (Enzymes zinazopatikana kwenye saliva "mate")
Hapa ndo hupatikana Chakula Kilichojibumba Kinachoitwa Bolus
Unakimeza Kinapita kwenye Koo la chakula mpaka Tumboni kwa Msukumo unaitwa peristalsis..
Kikifika Tumboni Hivyo hivyo kuna Mechanical Rxn (Vibration and Mixing of Gastric juices and food) na Chemical Rxn (Secretion of Enzymes na HCL , Pepsin Etc)
Sasa Kutokana na Reaction hiyo kile Chakula Bolus hu "change" kuwa Chakula ambacho ni semifluid "chenye Mfano wa Uji" ambacho Huitwa sasa Chyme.
Sasa Hiyo Chyme Huingia kwenye Utumbo Mdogo (Small intestine) ikitokea kwenye Tumbo la chakula (Stomach) na Hufika sehemu ya Kwanza ya Utumbo mdogo Duodenum...
Kwenye Duodenum , chyme imachanganyika na Nyongo "bile" kutoka kwenye Ini na gallbladder (ambayo kazi kuwa Huwa ni kuyeyusha mafuta kwenye Chyme ) na Hukutana pancreatic juices kutoka kwenye Kongosho (ambayo kazi kubwa ni kuendelea Kumeng'enya carbohydrates, proteins, na fats)..
Sasa Baada ya Kufanyika Kwa Digestion ya kutosha au Ya kuridhisha mwili unaamua kuanza Kuabsorb baadhi ya Nutrients..
Na Absorption huanza hapa sasa kwenye Utumbo mdogo kupitia Kuta za (Utumbo mdogo Small intestines) yaani Jejunum and Ileum..
Sasa Nutrients Hufyonzwa (Absorbed) kutoks kwenye Kuta hizo kupitia Villi au Vilus (Umoja) kwenye kwenye damu "bloodstream".
Fatty acids na glycerol hufyonzwa "absorbed" kwenda kwenye lymphatic system kama chyle kupitia lacteals..(hizi ni lymphatic vessel zilizo kwenye Utumbo mdogo katika lymphatic sys..)
Sasa Chyme itakayobaki bila kuchenjwa kuwa chyle na kupelekwa kwenye bloodstream itaingia Kwenye Large Intestine (Colon) na mwanzo kabisa itaingia kwenye Cecum..
sasa kazi kubwa ya cecam ni kupokea Hiyo chyme iliyotokka kwenye ileum na Kunyonya Baadhi ya Maji na chumvi chumvi ambazo hazikufyonzwa kipindi kunafanyika Ufyonzwaji Kwenye Utumbo mdogo..
Ikitoka hapo chyme Inaingia kwenye Ascending Colon sasa hapa ndo maji na Chumvi Hunyonywa kwa Ajili ya kupunguza Ule usemi fluid wa Chyme na kuobadilisha ile chyme kuwa kwenye ugumu ugumu..
sasa kwenye Hatua Hii maji hunyonywa sana na kama kuna fluid nyingine pia hunyonywa na kuinguzwa kwenye Damu kwa kasi kwenye Transverse Colon na kwenyewe absorption inaendelea ila humu pia bacterial fermentation hufanyika..
sasa kwenye Descending Colon hapa ndo sehemu ya Mwisho ya Unyonywaji wa Maji kwa kasi sana na ndo maana Jamaa kama ulimsoma alisema hiyo ndo sehemu ya mwisho na hutumika kuchuka kipi kiwe taka na kipi kiingie kwenye damu..
kwa sababu hapa ndo huingiza Fluid zote za Muhimu kwenye damu na hapa ndo hutengenezwa jina lingine kutoka kuwa Chyme mpaka kuwa Feacal Material au Feaces..
So ni hakika kwamba Unapoweka Fluid kwenye Colon Hufanya Absorption iwe kasi sana Kuliko na ambavyo ukinywa Kupitia Mdomoni na ikapita Process Zote hizo..
Natumanin kwa maelzo hayo marefu umeelewa?
Wako Katika Kukuelewesha..
DR Mambo Jambo
Huo mduara wa kupigana pipe ulitokea Sodima na Gomora,hebu type ushahidi mkuu?!Duh nimetafuta maneno ninayoweza kuelezea hapa au kucomment chochote nimekosa. Nnachoweza kusema kuwa kuwa watumia vile (wanywaji) na kula walevi.
Ok nimepata neno la kusema.
Miaka kumi ijayo naiona ile ya sodoma na gomora wanaume kuweka duara na kuanza kupigana pipe wa nyuma anampiga wa mbele Yake hivyo mpaka duara nzima mnajikuta mmemaliza ushetani. Maana kama pombe inawekwa kwenye nyaa nini matokeo yake?
Hawa jamaa wana mbinu nyingi sana za ku-recruit watu wao mwisho wa siku shogaaaaaWanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
Hii habari ilianzia Kenya. Huyu mama naye kadandia na kuongea kana kwamba ameshuhudia hivyo visa. Nimejaribu kuzunguka vijiwe kadhaa kuuliza, vijana wote wanashangaa hawajawahi kusikia hii kitu.Salaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
sasa kama kuna hali ya kuwashwawashwa wataachaje kuhitaji purely ni dalili ya ushoga.Hawapati hamu ya Kuingiliwa Kweli?
kulewa haraka siyo ubunifuUmetumia neno UBUNIFU kimakosa kabisa hapa, huo sio ubunifu, ni upuuzi..!!
Au hujui maana ya Ubunifu?
Kifupi ubunifu ni uwezo wa mtu kuanzisha au kuvumbua kitu chochote kipya, chenye utofauti na ubora zaidi, ambacho kina thamani au kinaongeza thamani ya kitu kilichopo, kwa manufaa ya mtu mwenyewe, wateja, na jamii kwa ujumla.
usinywe kabisa sio nzuriKatika kitu ambacho Mungu alininyima toka nikowa msogo ni pamoja na Pombe. Sijawahi kunywa kwenye maisha yangu.