Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Basi kiufupi idadi ya mashoga waliopo ni ndogo, wapo wengi, sasa sijajua hii tuiweke kwa upande wa upinde au vp. Nahisi watakua wanatumia bomba la peni au pampu ya aina yeyote, manake ukisema popo kanyea mbingu unajiwekea vp isimwagike? Au lazima mtu akutozee rungu kwa siku za kwanza?
 
Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro utadhani mlango wa shetani uko huko vijana wana ulimbukeni wa kuingia mambo hatari tu... Kwa mara ya kwanza nilishuhudia vijana wanatumia Petro na pia kidonge (sumu ya panya) kama kilevi...
Uongo mwingine hata shetani anaukana.

Aibu naona mimi badala ya Ziraili mtoa Roho
 
Kuna vitu watu wanabuni mpk unabaki na maswali yasiyo na majibu. Ni hatari kwa kweli.
Hebu walevi watujibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii imevuka viwango haswaaa.
 
Basi kiufupi idadi ya mashoga waliopo ni ndogo, wapo wengi, sasa sijajua hii tuiweke kwa upande wa upinde au vp. Nahisi watakua wanatumia bomba la peni au pampu ya aina yeyote, manake ukisema popo kanyea mbingu unajiwekea vp isimwagike? Au lazima mtu akutozee rungu kwa siku za kwanza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Wengi wanatumia hizi njia pia walishakula unga pasina shaka,
 
Niko na shetani hapa namuuliza kuhusu hii taarifa anasema yeye mwenyewe ndio anaisikia leo.
 
Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

View attachment 3020491
Kwa nchi ule mzani wa uwezo wa kiakili ukilalia zaidi upande wajinga, tarajia ujinga zaidi ya huu. Halafu utapokelewa kama kituko na siyo ujinga.

Ova
 
Mimi naona ni vijana wamesemwa hapa ila mabinti hawajasemwa kabisa.

Sasa kazi kwenu mabinti kuwakagua vijana wenu marinda .mtafanyae ili mkague hayo marinda?., mtajua wenyewe maana wanaumehatutaki kushikwa mali ya serikali
Kwahy hakuna kijana wa kike?
 
Back
Top Bottom