Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, sio lazima. Misuli ya Rectal sphincter a.ka. marinda haitaruhusu itoke labda kwa mhusika kusukuma/kujikamua kama inavyokuwa ukikata gogo.Kwa jinsi pombe ilivyo kali na nyepes itaflow back nina uhakika labda kae kichwa chini miguu juu.🤣
How possible is it?Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Mambo ya kuletewa haya 😃 bila kutumia akili kizazi kitakuwa cha ovyo kwa kujaribu jaribu mambo😃 hii kaliSalaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
Enemas allow alcohol to bypass the liver and stomach, letting the body absorb it into the bloodstream and through the colon’s lining without the body breaking it down.What about the spillover effects to the nearby(Closest) organs e.g the reproductive system?
Hii picha inahusiana vipi na mimi kuwa muislamu?
Those additional risks 👆 👆 👆 (To my perception) are immediate/short term risks. I am worried if that use-habit becomes a long term or sbd is an addict.Enemas allow alcohol to bypass the liver and stomach, letting the body absorb it into the bloodstream and through the colon’s lining without the body breaking it down.
This can lead to a higher blood alcohol concentration, increasing the risk of alcohol poisoning and central nervous system depression.
According to a 2019 articleTrusted Source, alcohol enemas may pose the following additional risks:
gastrointestinal bleeding
edema, swelling due to trapped fluid
ulcers in the intestinal tract
colon erosion
Sphincter zitahimili ukali wa ile Pombe, sio kwamba zitarelax automatically?Hapana, sio lazima. Misuli ya Rectal sphincter a.ka. marinda haitaruhusu itoke labda kwa mhusika kusukuma/kujikamua kama inavyokuwa ukikata gogo.
Ila kwa kweli hiko kitendo! Kha yataka moyo aisee.
Ndio hapo na mimi ningependa kufahamu mbona naona kama kitu kisichowezekana.Wanafanyaje bosi? Wanatumiaje pombe kwa njia ya haja kubwa? Ngoja niutafute ule uzi wa Walevi wanaweza kutujibu.
Kwakua wanasema hakuna jipya chini ya jua inawezekana ilishatokea mahaliEeeeh hii sidhan kama mababu zetu waliwahi Fanya hivyo, mpaka shetani anaogopa
Upo coco beach unauliza baharini wapi?Salaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
Umemaliza kila kitu.