Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naona ni vijana wamesemwa hapa ila mabinti hawajasemwa kabisa.
Sasa kazi kwenu mabinti kuwakagua vijana wenu marinda .mtafanyae ili mkague hayo marinda?., mtajua wenyewe maana wanaumehatutaki kushikwa mali ya serikali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na vipi kama wadada wakijaribu kupitia kwenye K sipati picha itakuaje
Yakitoka mkd autanuki?hujaona tofauti? Ukinya yanaingia na kutoka au yanatoka tuu!
Kha! Hawa wanywaji pombe hawa! Sina hamu nao aisee. Ni pasua kichwa.Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Hawa wenye uwezo huo watakuwa ni mashoga.Hawapati hamu ya Kuingiliwa Kweli?
Itoke iende wapi tena na ndo inafanya kazi yake? Ikitoka, hiyo ni hasara kwako kwani hilo sio lengo.Duniani kuna mambo.Sikuwahi kujua hilo.Swali;Hiyo pombe ikishafanya kazi yake mwilini,inatokea njia ipi tena?
















Bora uwe msukuma!!Dunia Ina mambo,Bora niwe mshmba