DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yuko Sawa kabisa..grand millenial Inawezekana vipi sehemu inayotumika kutengeneza mavi bado ikawa na uwezo wa kutunza kilevi cha kwenye pombe?
Kwanini hiyo pombe isichanganyike na hayo mavi nayo iwe mavi, au kuna kitu gani huko kwenye colon kinachotumika kutenganisha mavi na hiyo pombe inayoingizwa humo { kitaje kwa jina}?
Au vinginevyo tuambie, umeshawahi kutumia hiyo njia ya kuweka kilevi kwenye colon ukalewa, kama ambavyo mtu analewa akiweka pombe tumboni?
Kama hujawahi kutumia, maelezo yako hayana uthibitisho usioacha shaka. Labda kwenye ushoga nakubaliana nawe.
Katika sehemu ambayo Inafanya Absoption kubwa ya Fluid Huwa ni kwenye colon na hata Maji unayokunywa Asilimia Kubwa Huwa abso... Kwenye colon