Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mbona kama umekua na shauku?? Unataka kulewa?Wanafanyaje bosi? Wanatumiaje pombe kwa njia ya haja kubwa? Ngoja niutafute ule uzi wa Walevi wanaweza kutujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama umekua na shauku?? Unataka kulewa?Wanafanyaje bosi? Wanatumiaje pombe kwa njia ya haja kubwa? Ngoja niutafute ule uzi wa Walevi wanaweza kutujibu.
Aisee hii nayo mpya.
WaTz wabunifu sana
Hii ilianza huko kenya naona imefika hukuAisee hii nayo mpya.
WaTz wabunifu sana
Duuh mbona watu wa Dar mpo hivyo au mnataka watu wa mikoani tuje kuwasaidia wake zenu kuwapa Mimba?Salaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
Hakika. Vijana wengi wanatongoza watu wawafanye kwenye tundu. Tena mtandao GRINDR Ni real-time na unakukutanisha na aliye karibu. Tusitafute sababuvyote vinaingia na kutoka kwenye tundu hilo hilo. Ushoga ni matamanio ya mtu mwenyewe. Tusichanganye mambo.
Wanatumia anal enemaDunia imefika mbali...inamiminiwaje kwenye Puru sasa au wanatumia mrija
Sasa kama hapa duniani ndo hivyo itakuwaje huko peponi kwenye mito na maporomoko ya pombe?Watu wakiambiwa pombe ni kazi ya mamlaka ya giza huwa hawaelewi...
Ona sasa vile walevi wanavyohangaika kutatuliwa marinda ili tu walewe...
Mnavituko humu. Eliamini Mollel umesikiaKupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Bora ugaidi na kuvuta bangi
Subai labalai? Ekenywaaa?
Dunia ina mambo..[emoji848]Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Tafsiri kwa kiswahili mkuu!wapare wana msemo "titonga na bajeti"
Wanatumia bomba ya kuchomea sindano wanaweka kilevi huko wanasumia ndani ni hatari sana nasikia cc10 unaweza ukashidwa kuamka...😡😡😡Dunia imefika mbali...inamiminiwaje kwenye Puru sasa au wanatumia mrija
Katika kitu ambacho Mungu alininyima toka nikowa msogo ni pamoja na Pombe. Sijawahi kunywa kwenye maisha yangu.Mbona kama umekua na shauku?? Unataka kulewa?