Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Aiseeeee, Mungu awasaidieWanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeee, Mungu awasaidieWanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
Aiseeee, ngoja niisearch googleKupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Kwa biology ndogo ya O level. Rectum sijui colon inanyonya maji toka kwenye mabaki ya chakula(Mavi) na kuyaingiza mwili na ndio maana kama utakaa na choo muda mrefu huku kikiwa kinakubana. Utapata constipation kwani choo kinakuwa kigumu.grand millenial Inawezekana vipi sehemu inayotumika kutengeneza mavi bado ikawa na uwezo wa kutunza kilevi cha kwenye pombe?
Kwanini hiyo pombe isichanganyike na hayo mavi nayo iwe mavi, au kuna kitu gani huko kwenye colon kinachotumika kutenganisha mavi na hiyo pombe inayoingizwa humo { kitaje kwa jina}?
Au vinginevyo tuambie, umeshawahi kutumia hiyo njia ya kuweka kilevi kwenye colon ukalewa, kama ambavyo mtu analewa akiweka pombe tumboni?
Kama hujawahi kutumia, maelezo yako hayana uthibitisho usioacha shaka. Labda kwenye ushoga nakubaliana nawe.
itakuwa inatokea mdomoniDuniani kuna mambo.Sikuwahi kujua hilo.Swali;Hiyo pombe ikishafanya kazi yake mwilini,inatokea njia ipi tena?
halooo binadamu anapata taabu sana sidhani kama hata hili shetani analifahamu huko kwenye vikao vyakeSalaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
Mmmmh! Yani ww huoni kuwa hiki ni kituko, ni mpya kwetu Tz, inashangaza na kusikitisha, inaamsha kufikiri mara mbili mbili kwamba tumetoka wapi-tuko wapi - tunaelekea wapi?Hii kitu hai make sense, mnajadili kama watoto wa nursery school.
Hopeless kabisa, GT's wa sampuli gani nyie?!
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni MUISLAMU hivyo situmii kilevi chochote kile , na pia sijawahi kujaribu kutumia njia hiyo ya alcoholy enema maana hata pombe situmiii .grand millenial Inawezekana vipi sehemu inayotumika kutengeneza mavi bado ikawa na uwezo wa kutunza kilevi cha kwenye pombe?
Kwanini hiyo pombe isichanganyike na hayo mavi nayo iwe mavi, au kuna kitu gani huko kwenye colon kinachotumika kutenganisha mavi na hiyo pombe inayoingizwa humo { kitaje kwa jina}?
Au vinginevyo tuambie, umeshawahi kutumia hiyo njia ya kuweka kilevi kwenye colon ukalewa, kama ambavyo mtu analewa akiweka pombe tumboni?
Kama hujawahi kutumia, maelezo yako hayana uthibitisho usioacha shaka. Labda kwenye ushoga nakubaliana nawe.
How....Hii imeanzia kenya ndio tabia zao
View attachment 3020504
Wakenya wamepinda sanaHii ilianza huko kenya naona imefika huku
Asante kwa kunielewesha mkuuUmetumia neno UBUNIFU kimakosa kabisa hapa, huo sio ubunifu, ni upuuzi..!!
Au hujui maana ya Ubunifu?
Kifupi ubunifu ni uwezo wa mtu kuanzisha au kuvumbua kitu chochote kipya, chenye utofauti na ubora zaidi, ambacho kina thamani au kinaongeza thamani ya kitu kilichopo, kwa manufaa ya mtu mwenyewe, wateja, na jamii kwa ujumla.
Kama vipi hii iwekwe kwenye maonyesho ya taifa, naamini kama nchi tutapiga hela za kutoshaSijapata picha kama ni popo kanyea mbingu au anatumia pampu ya baiskeli kama mashine-rahisi.