Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Aiseeee, ngoja niisearch google
 
Unachukua visungura vyako 10 unaweka kwenye pipe unasukuma😂😂 huu usenge hapana, mwisho wa siku unakua gasho.
 
grand millenial Inawezekana vipi sehemu inayotumika kutengeneza mavi bado ikawa na uwezo wa kutunza kilevi cha kwenye pombe?

Kwanini hiyo pombe isichanganyike na hayo mavi nayo iwe mavi, au kuna kitu gani huko kwenye colon kinachotumika kutenganisha mavi na hiyo pombe inayoingizwa humo { kitaje kwa jina}?

Au vinginevyo tuambie, umeshawahi kutumia hiyo njia ya kuweka kilevi kwenye colon ukalewa, kama ambavyo mtu analewa akiweka pombe tumboni?

Kama hujawahi kutumia, maelezo yako hayana uthibitisho usioacha shaka. Labda kwenye ushoga nakubaliana nawe.
Kwa biology ndogo ya O level. Rectum sijui colon inanyonya maji toka kwenye mabaki ya chakula(Mavi) na kuyaingiza mwili na ndio maana kama utakaa na choo muda mrefu huku kikiwa kinakubana. Utapata constipation kwani choo kinakuwa kigumu.
 
Hao wanatafuta trend na kuishi kwangu kote uswahilini Dar es salaam sijawahi kuona wala kusikia hii kitu
 
Ni ushoga tu katika namna nyingine wanachochea. Usikute wala hamna kitu kama hiki ila wanaki introduce ila mashoga waanze kutumia halaf wimbi la wengine wapya wafuate. Kwann asielezee kwa kina wanafanyaje huyo dada??
Hii ni kampeni ya ushoga katika ohase nyingjne kuvuna kundi jipya la wasenge especially toka katika walevi.

Ni conversion process ya walevi into Mashoga.
Ndio maana ka highlight benefits zake kwamba "kilevi kidogo ,kulewa kule kule"
 
Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

View attachment 3020491
halooo binadamu anapata taabu sana sidhani kama hata hili shetani analifahamu huko kwenye vikao vyake
 
Hii kitu hai make sense, mnajadili kama watoto wa nursery school.

Hopeless kabisa, GT's wa sampuli gani nyie?!
Mmmmh! Yani ww huoni kuwa hiki ni kituko, ni mpya kwetu Tz, inashangaza na kusikitisha, inaamsha kufikiri mara mbili mbili kwamba tumetoka wapi-tuko wapi - tunaelekea wapi?
Ama kweli nina wasiwasi na uGT wako. Unadhani kwa vijana kukosa ajira hii walio buni ndo itakuwa solution mbadala? Kama kunywa kwa kutumia kinya kumepelekea kuharibu maini, sijui kwa kutumia njia hiyo kutapelekea kuharibu kiungo gani. Kwa kweli inatisha mno.
 
grand millenial Inawezekana vipi sehemu inayotumika kutengeneza mavi bado ikawa na uwezo wa kutunza kilevi cha kwenye pombe?

Kwanini hiyo pombe isichanganyike na hayo mavi nayo iwe mavi, au kuna kitu gani huko kwenye colon kinachotumika kutenganisha mavi na hiyo pombe inayoingizwa humo { kitaje kwa jina}?

Au vinginevyo tuambie, umeshawahi kutumia hiyo njia ya kuweka kilevi kwenye colon ukalewa, kama ambavyo mtu analewa akiweka pombe tumboni?

Kama hujawahi kutumia, maelezo yako hayana uthibitisho usioacha shaka. Labda kwenye ushoga nakubaliana nawe.
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni MUISLAMU hivyo situmii kilevi chochote kile , na pia sijawahi kujaribu kutumia njia hiyo ya alcoholy enema maana hata pombe situmiii .

kingine maelezo yangu hayana shaka maana hata ukipitia online kuna verified medical reports nyingi tu zipo zinaelezea hayo mambo few google search tu na hata bila ya online kwa basic biology ya sekondari utapata jibu lako.

TUKIREJEA KWENYE MADA.

Ki biolojia maji kwenye mwili huwa yananyonywa maeneo makuu mawili utumbo mdogo (small intestine) na utumbo mkubwa (large intestine) hasa eneo la colon
Eneo la colon limegawanyika sehemu kuu tano ambazo ni the secum, ascending colon, transverse colon, descending colon na sigmod colon .

Kazi kuu ya colon (baada ya utumbo mdogo) ni unyonyaji wa maji wa mwisho , unyonyaji wa electrolytes mfano sodium na pottasium (hizi zina kazi kubwa hasa kwenye kuregulate kiwango cha maji kwenye seli na uhifadhi maji wa muda kwenye figo) na unyonyaji wa vitamini.

Pombe kikawaida ni imetengenezeka kwa vitu viwili ETHANOL na MAJI sasa utakapoichukua pombe na kuiweka kwenye colon sehemu ambayo kazi moja wapo kuu ni kunyonya maji unategemea nini kitatokea? HAPA NI AKILI YA KAWAIDA TU HAIHITAJI UWE NA DEGREE KUFAHAMU KWAMBA POMBE ITANYONYWA NA KUINGIZWA KWENYE DAMU.

nyongeza njia ambayo colon inatumia kunyonya maji ni osmosis (osmosisi) yaani ule uhamaji wa maji kutoka sehemu yenye maji mengi kwenda sehemu yenye maji kidogo kupitia kajingozi laini kanachoruhusu maji kupita .
 
Umetumia neno UBUNIFU kimakosa kabisa hapa, huo sio ubunifu, ni upuuzi..!!

Au hujui maana ya Ubunifu?

Kifupi ubunifu ni uwezo wa mtu kuanzisha au kuvumbua kitu chochote kipya, chenye utofauti na ubora zaidi, ambacho kina thamani au kinaongeza thamani ya kitu kilichopo, kwa manufaa ya mtu mwenyewe, wateja, na jamii kwa ujumla.
Asante kwa kunielewesha mkuu
 
Back
Top Bottom