Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Mimi naona ni vijana wamesemwa hapa ila mabinti hawajasemwa kabisa.

Sasa kazi kwenu mabinti kuwakagua vijana wenu marinda .mtafanyae ili mkague hayo marinda?., mtajua wenyewe maana wanaumehatutaki kushikwa mali ya serikali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Kha! Hawa wanywaji pombe hawa! Sina hamu nao aisee. Ni pasua kichwa.
Halafu baadaye wanalia wanataka Hospitali na Jamii wawaonee huruma.
Nina wasi wasi kwamba wanafanya hivyo kwa kujidanganya eti ini halipati madhara ilhali kitu chochote kitakachoingia ktk mzunguko wa damu ni lazima kitapitishwa kwenye ini ili "Kihakikiwe" na ndipo "kinaruhusiwa" kuendelea katika mfumo (systems)wa mwili.
Hofu yangu kubwa zaidi ni kwamba viungo vya uzazi esp. vya wanaume (urogenital organs) vipo karibu mno na sehemu hiyo wanamomiminia hiyo pombe yao. Je, viungo hivyo vitakuwa salama kweli?
- Tusishangae hapo baadaye kusikia ongezeko kubwa la wenye kulia-lia shida ya Kuvimba kwa Tezi dume(BPH), Saratani ya tezi dume (Prostate Cancer), shida ya uzazi kwa wanaume (Infertility and ED), shida ya kibofu cha mkojo(uwepo wa mawe au kansa ya kibofu), shida ya mbegu mfu (Necrozoospermia)kwa wanaume, Ongezeko la Saratani ya utumbo mpana ijulikanayo kama Colorectal Cancer na madhila mengineyo mengi ya kiafya vikiwemo shida za moyo na figo.
 
Alcohol enemas involve inserting alcohol through the anus and into the rectum. They may make a person feel drunk faster and decrease the risk of vomiting, but they can also increase the risk of alcohol poisoning.

Alcohol enemas, also called “butt-chugging” or “boofing,” involve inserting alcoholic drinks into the rectum through the anus to bypass the body’s metabolizing processes.

People may consume alcohol this way to experience its effects faster, to avoid vomiting, or due to peer pressure. However, individuals may still be at risk of alcohol poisoning and overdose if they ingest alcohol this way.

:AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO:
 
Back
Top Bottom