Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
kuna jamaa aliletaga hii mada humu wadau wakamsimanga leo ndio naelewa kumbe kweli bhana
 
Nadhani hawa watu tuwatumie vizuri ni wabunifu sana. Kuna uwezekano hata ARV zikatumiwa kwa njia ya fikra tu.
 
Mimi naona ni vijana wamesemwa hapa ila mabinti hawajasemwa kabisa.

Sasa kazi kwenu mabinti kuwakagua vijana wenu marinda .mtafanyae ili mkague hayo marinda?., mtajua wenyewe maana wanaumehatutaki kushikwa mali ya serikali
Kumbe wakisema vijana wa taifa hili, mabinti ni excluded?? Huu nao ubunifu kama wa kutumia liquid kwa njia ya haja kubwa, you go against gravitational force pombe inaanzia chini kwenda juu.
 
Acha wao walewe,
sisi wengine tunaongeza salio kwa kula karanga mbichi, nazi, na mihogo.
Na kushushia mbegu za maboga.
ulevi wetu ni kukojoa popote!
 
Kaa nao makin sana
 
Hii ndio naisikia leo.
Hivi MTU anainama halafu anashusha suruali ili mwenzake ammiminie konyagi mk**duni?
Si ushoga utaanzia hapo?
 
Kwa biology ndogo ya O level. Rectum sijui colon inanyonya maji toka kwenye mabaki ya chakula(Mavi) na kuyaingiza mwili na ndio maana kama utakaa na choo muda mrefu huku kikiwa kinakubana. Utapata constipation kwani choo kinakuwa kigumu.
Hahaha hii ni biology ya level zote, haibadiriki hata ukifanya PhD.
 
Kumbuka huu ni ulevi hata wanawake hutumia, na wote hupata madhara aliyoeleza hapao juu.
 
Kuna watu humu watajaribu, just to see if all that is true.!
 
Hata kama hajaelewa yanatosha anaweza jisomea baadaye.
 
Hi
Huo mduara wa kupigana pipe ulitokea Sodima na Gomora,hebu type ushahidi mkuu?!
 
Hii habari ilianzia Kenya. Huyu mama naye kadandia na kuongea kana kwamba ameshuhudia hivyo visa. Nimejaribu kuzunguka vijiwe kadhaa kuuliza, vijana wote wanashangaa hawajawahi kusikia hii kitu.
 
kulewa haraka siyo ubunifu
 
Kumbe tusiokunywa pombe, Mungu anakuwa ametuepusha na mengi Kwa kweli

Maana hizi ni aibu, mtu mzima kuanza kujidunga kilevi kupitia njia ya haja kubwa mbona balaa 🙌
 
kwa mantiki yakulewa haraka hii nakataa! liquor ambazo ni hizi spirits zina alcohol 30 mpaka 40+. ukinywa tot kadhaa tu within a few minutes unasikia kitu ipo kichwani,moja kati ya kitu kinachochelewesha kulewa ni chakula ukiwa umekula hata upandaji wa kilevi unachukua muda!,ndio maana watu wengine hukaa na njaa then ndo hunywa ili stimu ziwahi kupanda!.
Napata mashaka sana na hiyo njia maana kama ni kulewa kwa haraka spirits zinawahi sana kulewesha,labda hao wanaofanya hivyo wawe na sababu zao nyengine lkn kisa sio kuwahi kulewa!.

hebu wataalum wakubwa waje watudadavulie vizuri hichi kitu ni kipya na chakipuuzi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…