Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?


Watu wakiambiwa pombe ni kazi ya mamlaka ya giza huwa hawaelewi...

Ona sasa vile walevi wanavyohangaika kutatuliwa marinda ili tu walewe...
 
Jamani jamani ndo Nini hiyo?? Kweli vijana wenzangu wanateketea kimasikharaa
 
nazani wavuta ugolo ndo wamewambukiza mana ukivutaka ugoro kuta zote za mdomo zinahalibika inabidi utumie njia ya haja kubwa jamaa zangu walikua wakiniambia ila hii yapombe sijui wanatumia kichwa au mabega kusimama ndo wajimiminie uko kwenye kund ata sielewi njia gani hutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…