peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Daaah Mpwayungu Village yuko wapi? 😄😄😄Naona nilipost komenti imefutwa na mods.
Ila narudia tena.
Walimu wameondokana na ujinga na wameanza kustuka mapema.
Mimi na mpwayungu tumepambana humu JF kuambia walimu wajitambue
ID zetu za kwananga walimu zimefutwa ila ujumbe ulifika
Halafu inatumwa kwa nani?Namna ya kujaza fomu kuondoka CWT . Fomu ni hii Inaonyesha namna ya kujazwa
Halafu inatumwa kwa nani?
Mwajiri na Katibu wa Cwt wilaya kumjulishaHalafu inatumwa kwa nani?
Sasa wanakotoka na wanakoenda si ni kitu kile kile!Namna ya kujaza fomu kuondoka CWT . Fomu ni hii Inaonyesha namna ya kujazwa
Sawa nshomile ya mulebaNaona nilipost komenti imefutwa na mods.
Ila narudia tena.
Walimu wameondokana na ujinga na wameanza kustuka mapema.
Mimi na mpwayungu tumepambana humu JF kuambia walimu wajitambue
ID zetu za kwananga walimu zimefutwa ila ujumbe ulifika
Sasa wanakotoka na wanakoenda si ni kitu kile kile!
Walimu bhana... Sijui wakoje
Ni tofauti mkuu.Sasa wanakotoka na wanakoenda si ni kitu kile kile!
Walimu bhana... Sijui wakoje
haweZi kabisa!Kwahali ilivyo hata baba wa taifa hawezi kua proud na UALIMU wake..............
Jamaan
🤓🤓🤓🤓haweZi kabisa!
Bora machinga kuliko walimu
Kumbe hoja ni wizi wa CWT... Mbona hata hao wengine wameanza na dalili mbaya sana 5,000! Si Kila mwaka itapanda!Ni tofauti mkuu.
Kwa sasa kama basic salary ya mwalimu ni 2,400,000 kila mwezi anakatwa 2,400,000*2/100 = 48,000 Tsh anakatwa Kila mwezi mara Miezi 12.= 576,000
ambapo kwa chama kipya mwalimu huyo Huyo atakatwa 5,000 kwa mwezi na kwa mwaka atakatwa 60,000.
576,000 ~ 60,000 = 516,000 mwalimu atasave kwa mwaka.
CWT ni wezi