Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Ya ng'ombe miguuni na kichwani .siwezi kuingia uzeeni kizembe na ngozi iliyoungua kwa kweli