Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Ya ng'ombe miguuni na kichwani .siwezi kuingia uzeeni kizembe na ngozi iliyoungua kwa kweli
Wanawake wanaishi leo wakati wanaume tunaishi kesho
 
Anakosea
Sunscreen ni kwa ajili ya kulinda ngozi na haina uhusiano na umri.

Kuna mpaka sunscreen za watoto.
Serum nazo hazihusiani na umri labda kwa serum zenye Retinol(wanapendekeza kuanza kutumika kwa wenye miaka 30 kwenda juu) kwa sababu ya kazi yake katika ngozi.

Katika vipodozi watu wanashindwa kutofautisha Myth(wazo binafsi la mtu)
Na Facts(matokeo ya uchunguzi wa kisayansi).
Hello dear vipi kuhusu fair and white gold no. 2 Ina maajabu gani
 
Halafu wengi wa watumia vipodozi wanakuwa kama vichekesho kwa muonekano wao
 
Dar es salaam asilimia kubwa ya wanawake ni weupe yaan naeza tembea Kila dakika mbili napishana na dada mweupe khaaa Kwan hayo maji ya bahat yanabadilisha ama😀
Halafu mikorogo na joto ni vitu viwili tofaut utakuta mtu anatoka harufu Kali kama mzoga uliochomwa
 
Back
Top Bottom