Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Ya ng'ombe miguuni na kichwani .siwezi kuingia uzeeni kizembe na ngozi iliyoungua kwa kweli
Ile kitu ya kilo kumi bado ipo?
 
Weupe wapo hovyo sanaaaa ni rangi na jinsi tu, vinanuka sanaaaa havina radha, vichafuuu MNOOO yaaan kwa UTI ndo usiseme! Aaaah hawanaga maajabu
 
Miss Natafuta mimi nadeal na vipodozi na ni caramel
Changamoto kubwa wateja hawanielew kwa sababu mimi siyo mweupe na sijataka kujibadilisha.
Wanaume wanao wanapendelea zaidi wanawake weupe(hivyo wadada wanapambana kuwaplease)
Nawakoroge mikorogo mingine navaa gloves(sababu ya hydroquinone)

Hawajali sana , siku hizi tunawapa mafuta ya maji pamoja na sunscreen kupunguza makali.
Japokua yajayo yanafurahisha.
Ulinishauri kutumia Portia M,nadumu nayo mpaka Leo.(Iko poa) Kuna muuza udongo mmoja juzi kapita ofisini kwetu anatuambia kama ni below 40 usitumie serum wala sunscreen.Alikua Sahihi?
 
Ulinishauri kutumia Portia M,nadumu nayo mpaka Leo.(Iko poa) Kuna muuza udongo mmoja juzi kapita ofisini kwetu anatuambia kama ni below 40 usitumie serum wala sunscreen.Alikua Sahihi?
Anakosea
Sunscreen ni kwa ajili ya kulinda ngozi na haina uhusiano na umri.

Kuna mpaka sunscreen za watoto.
Serum nazo hazihusiani na umri labda kwa serum zenye Retinol(wanapendekeza kuanza kutumika kwa wenye miaka 30 kwenda juu) kwa sababu ya kazi yake katika ngozi.

Katika vipodozi watu wanashindwa kutofautisha Myth(wazo binafsi la mtu)
Na Facts(matokeo ya uchunguzi wa kisayansi).
 
Hongera sana kwa kuitunza na kuilinda afya ya ngozi yako.

Nimewahi kununua shower gel kwako, una rangi nzuri ya asili.
💐💐💐💐💐💐💐💐
Asante na karibu tena.
 
Kitu hawajui wanawake wanaojichubua ni kwamba hata ladha ya asili ya huko chini huwa inapotea,papuchi inakuwa kavu utelezi unautafuta kwa frequency, ukifanikiwa kupiga kimoja cha pili unamuona kama msukule kavamia chumbani kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Chanzo cha yote ni jinsia ya kiume. Wasichana weupe, wenye mishepu ndio wanakodolewa macho. Inaleta insecurity kwa wasio weupe wanakosa madanga
Kosa linaanzia kwenye kujiweka kidangaji badala ya kujiweka ki-wife material
 
Mojawapo ya athari ya mkorogo hii hapa.
Unaglow ndiyo lakini unaipa ngozi mzigo mzito.
Miss Natafuta
9CB3ECCD-35A4-4B0B-B94A-FCEDEB6EC86B.jpeg
 
Back
Top Bottom