Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Hao wauzaji wanaonyesha mfano na wao wanaamua wajikoboe, huwa nawasikitikia sana nikiwaangalia wanavyoharibu ngozi zao natural nzuri, unakuta mwengine mweupe lakini anatumia hayo madude ili ang'ae zaidi
 
Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Ya ng'ombe miguuni na kichwani .siwezi kuingia uzeeni kizembe na ngozi iliyoungua kwa kweli
Kumbe dotinata bado yupo duniani!
 
Rahisi mbona we chukua Caustic Soda weka kwenye lotion yako, ichanganye vizuri lazima utakuwa mweupe tu
 
Back
Top Bottom