Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #61
Hayo nayo yanazeesha ngozi bna.kwa umri huu hapanaTunaopaka petroleum jelly 😹😹😹 tupo kundi gani
Ngozi inaitaji matunzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo nayo yanazeesha ngozi bna.kwa umri huu hapanaTunaopaka petroleum jelly 😹😹😹 tupo kundi gani
Hitmyo picha inauhusiano na bandiko?Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Ya ng'ombe miguuni na kichwani .siwezi kuingia uzeeni kizembe na ngozi iliyoungua kwa kweli
nyie kweli wa petroleum jelly naona hata kwenye avatar😀Tunaopaka petroleum jelly 😹😹😹 tupo kundi gani
Weka picha. Bila picha ni ushambenga tu!Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Ya ng'ombe miguuni na kichwani .siwezi kuingia uzeeni kizembe na ngozi iliyoungua kwa kweli
Sema kupaka mafuta ya kondoo sehemu za siri hiyo harufu polisi wanaweza kukushika 😁Na ya mkia WA kondoo napaka makalio na sehemu za Siri
Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta ya usoni tu ni yapi, maana nimepaka American dream ya papai nayo inanitoa vichunusiMiss Natafuta mimi nadeal na vipodozi na ni caramel
Changamoto kubwa wateja hawanielew kwa sababu mimi siyo mweupe na sijataka kujibadilisha.
Wanaume wanao wanapendelea zaidi wanawake weupe(hivyo wadada wanapambana kuwaplease)
Nawakoroge mikorogo mingine navaa gloves(sababu ya hydroquinone)
Hawajali sana , siku hizi tunawapa mafuta ya maji pamoja na sunscreen kupunguza makali.
Japokua yajayo yanafurahisha.
.bila weupe hupati chochote kituChanzo cha yote ni jinsia ya kiume. Wasichana weupe, wenye mishepu ndio wanakodolewa macho. Inaleta insecurity kwa wasio weupe wanakosa madanga
Miss Natafuta mimi nadeal na vipodozi na ni caramel
Changamoto kubwa wateja hawanielew kwa sababu mimi siyo mweupe na sijataka kujibadilisha.
Wanaume wanao wanapendelea zaidi wanawake weupe(hivyo wadada wanapambana kuwaplease)
Nawakoroge mikorogo mingine navaa gloves(sababu ya hydroquinone)
Hawajali sana , siku hizi tunawapa mafuta ya maji pamoja na sunscreen kupunguza makali.
Japokua yajayo yanafurahisha.
Kabisa no mambo mengi😹nyie kweli wa petroleum jelly naona hata kwenye avatar😀
Natengeneza mwenyewe ahaaaa
😹😹😹Hayo nayo yanazeesha ngozi bna.kwa umri huu hapana
Ngozi inaitaji matunzo
Kabla ya kupaka mafuta yoyote lazima ujue ngozi yakoMafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta ya usoni tu ni yapi, maana nimepaka American dream ya papai nayo inanitoa vichunusi
Asante mkuu kama kweli vileHongera sana kwa kuitunza na kuilinda afya ya ngozi yako.
Nimewahi kununua shower gel kwako, una rangi nzuri ya asili.
💐💐💐💐💐💐💐💐
Achana na vitu vikali shoga yangu utakuja kujutaHuuzi au kufundisha kutengeneza?? nimependa style yako mimi nataka kung'aa kinatural
💯💯Asante mkuu kama kweli vile
Sio kweli, hata wanawake weusi wanazingatiwa.Chanzo cha yote ni jinsia ya kiume. Wasichana weupe, wenye mishepu ndio wanakodolewa macho. Inaleta insecurity kwa wasio weupe wanakosa madanga