Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ile kwaya ilikua na mafundi tupu...sijui wanakwama wapi siku hizi kina joshuaUmetisha mzee...Hii nayo ilikua kali mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kwaya ilikua na mafundi tupu...sijui wanakwama wapi siku hizi kina joshuaUmetisha mzee...Hii nayo ilikua kali mnoo
Mkuu unaweza kuta sisi ni ndgu hahahah (kidding)Ngoja tuongoze
- Magena -ombi langu
- Pillars of faith-upendo
- Beatrice muhone- si njia rahisi, habari njema, kijito cha utakaso, yu pekee(hakuna rafiki kama yesu), bwana yesu yuko wapi,
- Kuna wakongo wanajiita injili international choir wimbo unaitwa songa mbele
- kwa mji wa mwangaza-Godwin Ombeni and ruach worship. Humu kuna kadada huwa napenda sana sauti yake
Hata wao zablon singers wameshindwa kuvunja record yao wenyewe kwa huu wimboZablon Singers --Mkono wa Bwana
Huu wimbo unapendwa mpaka na waislamu na sometimes inapigwa mpaka kwenye kumbi za starehe
Lakini hapo KKKT Kijitonyama umewakazia hebu rejea hiziShaloom wakuu,
Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's ambapo walianza kuibuka waimbaji wa kujitegemea wa nyimbo za injili na kwa wingi wao imepelekea umaarufu wa vikundi na nyimbo za kwaya kushuka kwa miaka ya karibuni.
Binafsi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo za kwaya toka miaka hiyo mpaka sasa na leo niliamka nikiwaza ni nyimbo gani ya injili ya kwaya ambayo tunaweza kusema ndio nyimbo bora zaidi kupata kutengenezwa/kuimbwa hapa Tanzania toka mziki huu uanzishwe.
Naomba mnisaidie kuchagua namba moja kwenye list ya nyimbo za kwaya ninazoona ziliwahi kutikisa sana tasnia ya nyimbo za injili na wewe pia unaweza kuongezea chaguo lako kama unaona haipo kwenye orodha hiyo;
1. Tabata Menonite - Kunyata nyata
2. AIC Makongoro- Utumwa wa waisrael & Kekundu
3. Mtoni Evangelical- Lulu
4. Bethel Gospel - Yupo Mungu
5. Barabara ya 13- Samson na Delila
6. Mapigano Ulyankuru- Katika viumbe vyote & Goliati & Fahari ya vijana
7. Nkinga choir - Sauli wanitesa
8. KKKT Mabibo - Nijaposema kwa lugha & Sauti ikatoka.
9. AIC Chang'ombe - Gusa
10. Zablon Singers - Mkono wa Bwana
11. Jerusalem choir - Kesho ni yako
12. Kijitonyama uinjilisti - Hakuna kama wewe
13. Pastor Alex & Mary Atieno - Sodoma na Gomorrah
14. Eternal life gospel - Sio sisi
15. Mtakatifu Kizito Makuburi - Mimina & Yesu ni mwema
16. Mt. Theresia Matogoro - I love you
17. Kapotive star- Nimeonja pendo lako
18. Arusha town - Kila mtu na mzigo wake
19. Tafes (Ardhi)- Maserafi
20. Essence of worship- Mimi siwezi
Karibuni.
UmesahauShaloom wakuu,

Kweli asee...walikua hawakoseiLakini hapo KKKT Kijitonyama umewakazia hebu rejea hizi
1)eyawe simbanga
2)simba wa Yuda
3)msalaba wa yesu
4)hakuna mwanaume kama yesu
5)ndani ya safina
Kama unapenda kusikiliza vyombo vya mziki hebu sikiliza hizo kitu ni habari nyingine kabisa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huo wa tatu kati ya nyimbo za kanisa katoliki zinazoishi1.TABATA MENNONITE ila siyo kwa wimbo wa KUNYATA NYATA bali ule wimbo wao mwingine wa WATU WANAPENDA MIKATE.
2.AIC CHANG'OMBE
3.MT. KIZITO MAKUBURI DAR- WATOTO WA NYUMBA ZOTE.
4.LUTHERAN MABIBO- Ile Album yao ya SAUTI IKATOKA.
5.MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR- HAKIKA "Natembea nikiwa marehemu".
6.KAPOTIVE STARS.
7.MT. CECILIA ARUSHA-MSHIPI.
8.AMBASSADORS OF CHRIST RWANDA.
9.MABATINI ADVENTIST CHOIR MWANZA.
10.MT. MAURUS MAKONGOROSI, CHUNYA.
Ni habari nyingine kabisa haiKweli asee...walikua hawakosei
Songa mbele ni bonge la gospel jamaa wale wanaimba uwezi amin kama ni wasabato alaf kuna jamaa akaja niambia kuwa ni wakongoMkuu unaweza kuta sisi ni ndgu hahahah (kidding)
Huo wimbo wa songa mbele, wife anaupenda hatari hatari
Huo wimbo wa Mji wa mwangaza.. dah.. Ombeni anajua kuimba aisee..
KabisaHata wao zablon singers wameshindwa kuvunja record yao wenyewe kwa huu wimbo
Ni kweli, Mkuu!Huo wa tatu kati ya nyimbo za kanisa katoliki zinazoishi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna ule wimbo wa mchaka mchaka mkimbilie Yesu aisee yule dada ana sauti nzuri sanaNi kweli, Mkuu!
Kuna nyimbo zinatungwa kwa uzuri, umakini, na umahiri wa hali ya juu na kudumu katika ubora kwa kizazi hata vizazi.
Nyimbo inagusa mpaka mtu asiye na DHEHEBU wala DINI anakubali kwa moyo mkunjufu na kuisifu.
Nyimbo inagusa, inaponya, inajenga, inaelimisha, inaonya, inaburudisha, na kuadilisha pia mpaka hata wafuasi wa Mtume MUHAMAD S.A.W wanakwambia huu wimbo umeimbwa vizuri.
Kwa upande wa RC (ROMAN CATHOLIC) kwaya zao ninazo zikubali kwa muda wote ni hizi hapa:,
1.KWAYA YA MT. KIZITO MAKUBURI, DSM.
2.KWAYA YA MT. MAURUS, MAKONGOROSI, CHUNYA.
3.KAPOTIVE STARS.
4.KWAYA YA MT. CECILIA, ARUSHA.
5.KWAYA YA MT. JOSEPH
6.KWAYA YA MT. YUDA THADEI, MWANZA.
Shukrani sana, Mkuu!Kuna ule wimbo wa mchaka mchaka mkimbilie Yesu aisee yule dada ana sauti nzuri sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu utam unakuja pale wanaponyamaza kwanza kuimba wanabaki kucheza na gitaa la bezi ndo linasikika
Yes haohao unakumbukumbu nzuriShukrani sana, Mkuu!
Niliwasahau kabisa hao.
Nafikiri unasemea ni VICTORIA SINGERS, Ambao wana nyimbo kama MCHAKA MCHAKA, HIVI WEWE NI MKRISTO, UBATIZO, N.K
Binafsii wimbo wangu bora wa wakati wote ni, Kwaya Kuu KKKT Kimara - Katika njia ya Injili