Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Kwa hili nitakuita baba samahani Kama ni mwanamke

Aisee kuna wimbo hapa huo namba 8 nimeutafuta kwa miaka mingi bila mafanikio sikujua hata nianzie wap

Nikawa naishia kujiimbia kimoyo moyo

Kwa kifupi ni wimbo wa kitambo kidogo asante sana ngoja niutafute then nienjoy

1yesu katka kisima kile cha yakobo azungumza na mwana mama msamariae unipe maji ninywe ewe mama msamaria 2bibilia ni kitabu cha vitabu_mzungu 4,yuda alikufa sababu ya kupenda pesa,maraika grabiel alitumwa na mungu kwenda kwenye mji wa garilaya mkoani Nazareth
 
Zipi unahitaji nikupatie
....angalia,utakapokuwaaa,umekulaaa na kushibaa,na kujenga nyumba nzuri sanaa,na kukaaa ndani yake. Na makundi ya kondoo na ng'ombee,yatakapo ongezekaa........
Kuna kwaya ilikuwa ni Wazungu lakini wameimba kiswahili....moja ya nyimbo zao ni,
...ushindi kwa watuu wa Mungu x2
...tunasonga mbelee,kwa nguvu za Mungu, hatuzuiliwi,tuna ushindii.
Hivi kwa mnaosali KKKT - DMP, kantate na mashindano ya kwaya bado yapo?
Nakumbuka mbwembwe za choir master mmoja wa Kariakoo miaka hiyo ya 1980's - 1990's.
 
  • Thanks
Reactions: ram

Kutokana na janga la corona Mwaka jana hakukuwa na Kantate wala Reformation, mwaka huu kantate kila kwaya zilifanya katika usharika wake, Reformation ipo sisi wa DMP - jimbo la kaskazini tunashindana mwezi huu mwishoni
 
Mungu awabariki sana.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Dah nisamehe sana kuwasahau Kinondoni revival asee
Hawa kinondoni revival choir Kuna wimbo wanaimba "talila talila ta" sikumbuki jina la wimbo huo.Ansyekumbuka anambie.Unanikumbusha enz za rediocassete
 
Shukrani sana, Mkuu!
Niliwasahau kabisa hao.

Nafikiri unasemea ni VICTORIA SINGERS, Ambao wana nyimbo kama MCHAKA MCHAKA, HIVI WEWE NI MKRISTO, UBATIZO, N.K
Huo wimbo ni wa mwaka 1993/1994. Nakumbuka father wangu alinunua kaseti ya album yao. Ni Victoria Singers wala hujakosea.
 
"Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe" na " Katika vitu vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika" ni nyimbo za kwaya ipi/zipi?
 
Kuna wimbo miaka ya 1990's ulikuwa unaimba "Tunaelea tunaelea tunakwenda mbinguni, dunia siitaki, tunakwenda mbinguni....."
Sijui ilikuwa ni kwaya gani hapo Dar, jamaa waliimba, kipindi hicho nikiwa mdogo sana, sijawahi kuusikia tena miaka hii ya 2000's
 
Back
Top Bottom