Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Essence Of Worship | I will Praise the Lord(Live in Nairobi)

 
Ingiaaaa furahani mwake Bwana huu sijui umeimbwa na nani ila unaanza ninatembeaaa nakaza mwendo niiiifike yerusalem mpya
 
Halafu utam unakuja pale wanaponyamaza kwanza kuimba wanabaki kucheza na gitaa la bezi ndo linasikika
[emoji91][emoji91][emoji91] mtu wa base na solo guitar walifanya kazi nzuri sana mule, walikuwa extraordinary!
 
Back
Top Bottom