MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
Nyimbo zangu pendwa za Ushindi!! Ninapomshukuru Mungu kwa wema wake juu ya maisha yangu..Mkono wa Bwana
Hakuna Mungu kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo zangu pendwa za Ushindi!! Ninapomshukuru Mungu kwa wema wake juu ya maisha yangu..Mkono wa Bwana
Hakuna Mungu kama wewe
😅Hakuna Mungu kama wewe ikipigwa Club au Bar walevi wote lazima waserebuke...
Uzi ni wa nyimbo za kwaya sio mtu solo .Solomon Mukubwa..Mfalme wa Amani
Hawa jamaa kwenye hizi kwaya walikuwa wataalamu vibaya mno, yaani unakuta vyombo vinakung'utwa mpka roho yako inasuuzika.kwenye ile ngoma inaitwa LULU......kuna mdau kachalaza nyuzi mule sijapata ona
Umenikumbusha mbali sana
Imebidi niingie youtube kuusikiliza
🎶"Sauti iiii, sauti iii, Sauti iiii, Sauti ikatoooka..Huyu ni mwanangu mpendwa msikilizeni, atakayowafundisha nayashikeni" 🎶
Hawa jamaa kwenye hizi kwaya walikuwa wataalamu vibaya mno, yaani unakuta vyombo vinakung'utwa mpka roho yako inasuuzika.
Hii Lulu yaani daah.
Naomba kuwajua hasa huyu wa Lulu.
Kazi safi sana napenda kumjua mwamba aliyecharaza guitar..Yesu nipeleke kule kwa baba nikaishi naye kule mbinguni kwenye mji wa lulu na milango ya dhahabu
Yesu nipeleke kule kwa baba nikaishi naye kule mbinguni kwenye mji wa lulu na milango ya dhahabu
Oooooh.. Oooooh lulu..
Ooooh... Ooooh lulu
Ooooh Lulu...
Iko mbinguni
Ooooooh.... mmmmm...
Kweli ndani ya Yesu, Kuna raha ya ajabu isiyo na mwisho
kweli jamani mmmmmmm!
Yesu nakuomba nipe nguvu nikutumikie humu ulimwenguni kabla ya siku zangu hazijaisha..
Yesu nakuomba nipe nguvu nikutumikie humu ulimwenguni kabla ya siku zangu hazijaisha..
Oooooh... Ooooooh Lulu...
Ooooh... Oooooh Lulu
Oooooh Lulu...
iko mbinguni
Ooooooh.... mmmmm...
Kweli ndani ya Yesu, Kuna raha ya ajabu isiyo na mwisho
kweli jamani mmmmmmm!
SAFI SANA.Kutokana na janga la corona Mwaka jana hakukuwa na Kantate wala Reformation, mwaka huu kantate kila kwaya zilifanya katika usharika wake, Reformation ipo sisi wa DMP - jimbo la kaskazini tunashindana mwezi huu mwishoni
Wakati Beatrice Muhone mbichiiMwana mpotevu imenikumbusha enzi za utoto mbali sana
Naomba huu wimbo wa ninamjua aliyeniweka duniani.Huu wimbo hua unanikumbusha mama yangu aise, alikua akitwanga mpunga anakua anauimba sana. Nikimmiss hua nauimba huu.
Nyimbo zangu pendwa ambazo sio za kikatoliki
- Ninamjua aliyeniweka duniani
- Katika njia ya injili
- Safari ya mbinguni (kkkt kimara)
- Upendo SDA
10 kilotons of TNT naomba nione like yako hapa tafadhali..Binafsii wimbo wangu bora wa wakati wote ni, Kwaya Kuu KKKT Kimara - Katika njia ya Injili
SureMuungano kwaya (Adventist) - Natembea mimi ni Marehemu
St.James/Tumaini kwaya Arusha /Shangilieni - Habari ya Mwana mpotevu, Nuhu, Nakulilia Jehova etc.
- Kijitonyama Upendo group - Hakuna Mungu kama wewe, BamBam, Masiya Wanyi, Hakuna Mwanaume kama Yesu etc.