Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Mkuu unaweza kuta sisi ni ndgu hahahah (kidding)

Huo wimbo wa songa mbele, wife anaupenda hatari hatari

Huo wimbo wa Mji wa mwangaza.. dah.. Ombeni anajua kuimba aisee..
 
Lakini hapo KKKT Kijitonyama umewakazia hebu rejea hizi
1)eyawe simbanga
2)simba wa Yuda
3)msalaba wa yesu
4)hakuna mwanaume kama yesu
5)ndani ya safina
Kama unapenda kusikiliza vyombo vya mziki hebu sikiliza hizo kitu ni habari nyingine kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau
1.Aleluya kuu 2. Uzipokeee,. 3.watoto wa nyumba zote 4. Maajabu ya Mungu 5.
 
Kweli asee...walikua hawakosei
 
Huo wa tatu kati ya nyimbo za kanisa katoliki zinazoishi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaweza kuta sisi ni ndgu hahahah (kidding)

Huo wimbo wa songa mbele, wife anaupenda hatari hatari

Huo wimbo wa Mji wa mwangaza.. dah.. Ombeni anajua kuimba aisee..
Songa mbele ni bonge la gospel jamaa wale wanaimba uwezi amin kama ni wasabato alaf kuna jamaa akaja niambia kuwa ni wakongo
 
Huo wa tatu kati ya nyimbo za kanisa katoliki zinazoishi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli, Mkuu!

Kuna nyimbo zinatungwa kwa uzuri, umakini, na umahiri wa hali ya juu na kudumu katika ubora kwa kizazi hata vizazi.

Nyimbo inagusa mpaka mtu asiye na DHEHEBU wala DINI anakubali kwa moyo mkunjufu na kuisifu.

Nyimbo inagusa, inaponya, inajenga, inaelimisha, inaonya, inaburudisha, na kuadilisha pia mpaka hata wafuasi wa Mtume MUHAMAD S.A.W wanakwambia huu wimbo umeimbwa vizuri.

Kwa upande wa RC (ROMAN CATHOLIC) kwaya zao ninazo zikubali kwa muda wote ni hizi hapa:,

1.KWAYA YA MT. KIZITO MAKUBURI, DSM.

2.KWAYA YA MT. MAURUS, MAKONGOROSI, CHUNYA.

3.KAPOTIVE STARS.

4.KWAYA YA MT. CECILIA, ARUSHA.

5.KWAYA YA MT. JOSEPH

6.KWAYA YA MT. YUDA THADEI, MWANZA.
 
Kuna ule wimbo wa mchaka mchaka mkimbilie Yesu aisee yule dada ana sauti nzuri sana
 
UPDATES:
Nikiri kwamba sikuzitendea haki hizi nyimbo kwakuzisahau kwenye orodha:
1. Mt. Kizito - Watoto wa nyumba zote
2. Muungano choir - Natembea mimi ni marehemu
3. Kkkt Kijitonyama - Simba wa Yuda

Tuendelee kukumbushana wakuu na kutambua kazi nzuri zilizofanywa na kwaya zetu.
 
Mimi Yesu - Amkeni Fukeni choir
Yesu ni mwema - Makuburi
Nimekupata Yesu - ambassadors of Christ
Zimetiririka neema za Mungu - Maria de Mattias
Mahali ni pazuri - unknown/tenzi za rohoni
Mkono wake Bwana - Zabron singers
I love you - Mt. Theresa
Ninaikumbuka siku - Mt. Sesilia mererani
Sadaka yangu - Mathias mulumba, Dodoma
Kidole juu - Mt. Sesilia, Arusha mjini
Nitamuhimidi Bwana - Mt. Sesilia Arusha
Kwetu Pazuri - ambassadors of Christ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…